Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,349
- 62,579
Sasa ni muda muafaka kwa wanawake nao, kuanza kuwahonga wanaume ili wawe nao kwenye mahusiano.
Haiwezekani, miaka nenda rudi, sisi wanaume ndio tunakuwa tunawahonga au kuwashawishi wanawake kuwa nao kimahusiano.
Hii sio sawa; kama mnadai haki sawa, basi na nyie wanawake anzeni kutuhonga; kwa sababu kwenye mahusiano, wote tunapata starehe; hakuna anayepata starehe zaidi ya mwingine.
Haya mambo yakutufanya sisi wanaume vitega uchumi, hapana kabisa.
Mabadiliko yanaanza kuanzia sasa