super model
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 307
- 321
Hicho ndicho kilichokupeleka bar manake najua kilichokupeleka bar ni balimi hayo ya mavaz ya mabaamed waachie wenyew manake wanajitaftie riziki kupitia mavaz yao
Mfungo umekwisha mkuuEid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi
Nakutudhalilisha piaNa ingekuwa vyema awaulize hao waliovaa hivyo kwa sababu kuja kutuuliza ambao hatuvai hiyo nusu uchi ni sawa na kutuonea.
Ukhuty

Mfungo umeisha, mmeamua kufungulia kila kitu sasaEid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi
Kwa mtazamo huu, hakuna kitakachoulizwa humu kikapata majibuNa ingekuwa vyema awaulize hao waliovaa hivyo kwa sababu kuja kutuuliza ambao hatuvai hiyo nusu uchi ni sawa na kutuonea.
Ulilazimishwa uende huko?Eid Mubarak wana JF