PointLabda hukuwepo kwenye kikao chetu cha wanamme kilichopita.
Rejea zilikuwa kama ifuatavyo.
1. Makeups na filters hazibadiri vinasaba, USIVUTIWE NA MWANAMKE WA MTANDAONI unless unamjuaa kiuhalisia.
2. Tulishasema vibaya vyajitembeza/ vyajipost post na samaki wa mapambo haliwi.
NB:No offense
Mengine wamaliziee wanajamvi
Wanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu.
Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu.
Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye ngozi nzuri ya kuvutia.
Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kuwa tahadharisha nakuwaeleza tuachane nao kabisaaa.
Wengi wao ni wavivu wa kupika kufua hata kazi hawawezi asee.
Ila ukiliona kwenye mtandao si utasema mwanamke si ndo huyu.
Kuna moja limeachika tuu juz juz lakin linavyo jitupia na kama humjui mwanaume unaweza kusema mbona huyu kashushwa na Mungu... Sasa fuatilia heeeh. Maana kila bwana ka mgegeda na hata Pombe kali zote anazijua kwa majina na Alcohol zake[emoji23]
Mwingine yule wa Mbunge wa Mbeya bhanaa ukiona post zake mbona unaweza sema pis ya kwenda sasa kale mzigo azae afu usitume matumizi mamaaaa... Hakuna rangi utaacha ona.
Ningekuwa na hata na uwezo mama na dada zangu ningewageuza malaika tuu wakaishi mbinguni kuliko jamii ya wanawake wa sasa.
Yaani ni uchafu kuoza....
Mimba wao ndo watoaji.
Niishie hapo tuu kuwakumbusha wanaume zetu hasa hawa wanawake wa kujipost post ni sheedaaaaaaaaa.
Awa viumbe waoo wengi totally in number lazima wajipost post ili wapate madanga
Ndo maana Elon musk anataka kununua snapchatWanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu.
Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu. Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye ngozi nzuri ya kuvutia. Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kuwa tahadharisha nakuwaeleza tuachane nao kabisaaa.
Wengi wao ni wavivu wa kupika kufua hata kazi hawawezi asee. Ila ukiliona kwenye mtandao si utasema mwanamke si ndo huyu. Kuna moja limeachika tuu juz juz lakin linavyo jitupia na kama humjui mwanaume unaweza kusema mbona huyu kashushwa na Mungu... Sasa fuatilia heeeh. Maana kila bwana ka mgegeda na hata Pombe kali zote anazijua kwa majina na Alcohol zake[emoji23]
Mwingine yule wa Mbunge wa Mbeya bhanaa ukiona post zake mbona unaweza sema pis ya kwenda sasa kale mzigo azae afu usitume matumizi mamaaaa... Hakuna rangi utaacha ona.
Ningekuwa na hata na uwezo mama na dada zangu ningewageuza malaika tuu wakaishi mbinguni kuliko jamii ya wanawake wa sasa.
Yaani ni uchafu kuoza....
Mimba wao ndo watoaji.
Niishie hapo tuu kuwakumbusha wanaume zetu hasa hawa wanawake wa kujipost post ni sheedaaaaaaaaa.
Fanya kazi tafuta pesa utawapata wale ambao ukikutana nao live utasema aaah kweli kitu org...... Shida we unaangukia kwa kina Mwajuma wa gongo la mboto filter nyingi ukikutana nae gaga
Ipunguzieni kazi pesa wazee kwenye swala la uzinzi pesa isitajwe...overFanya kazi tafuta pesa utawapata wale ambao ukikutana nao live utasema aaah kweli kitu org...... Shida we unaangukia kwa kina Mwajuma wa gongo la mboto filter nyingi ukikutana nae gaga hadi kweny lips
JiongelesheIpunguzieni kazi pesa wazee kwenye swala la uzinzi pesa isitajwe...over