Wanawake na wasichana kwenye mitandao yetu ya Kijamii

Wanawake na wasichana kwenye mitandao yetu ya Kijamii

Bull Striker

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
455
Reaction score
1,012
Wanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu.

Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu. Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye ngozi nzuri ya kuvutia. Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kuwa tahadharisha nakuwaeleza tuachane nao kabisaaa.

Wengi wao ni wavivu wa kupika kufua hata kazi hawawezi asee. Ila ukiliona kwenye mtandao si utasema mwanamke si ndo huyu. Kuna moja limeachika tuu juz juz lakin linavyo jitupia na kama humjui mwanaume unaweza kusema mbona huyu kashushwa na Mungu... Sasa fuatilia heeeh. Maana kila bwana ka mgegeda na hata Pombe kali zote anazijua kwa majina na Alcohol zake[emoji23]

Mwingine yule wa Mbunge wa Mbeya bhanaa ukiona post zake mbona unaweza sema pis ya kwenda sasa kale mzigo azae afu usitume matumizi mamaaaa... Hakuna rangi utaacha ona.

Ningekuwa na hata na uwezo mama na dada zangu ningewageuza malaika tuu wakaishi mbinguni kuliko jamii ya wanawake wa sasa.

Yaani ni uchafu kuoza....
Mimba wao ndo watoaji.

Niishie hapo tuu kuwakumbusha wanaume zetu hasa hawa wanawake wa kujipost post ni sheedaaaaaaaaa.
 
Labda hukuwepo kwenye kikao chetu cha wanamme kilichopita.

Rejea zilikuwa kama ifuatavyo.
1. Makeups na filters hazibadiri vinasaba, USIVUTIWE NA MWANAMKE WA MTANDAONI unless unamjuaa kiuhalisia.
2. Tulishasema vibaya vyajitembeza/ vyajipost post na samaki wa mapambo haliwi.

NB:No offense

Mengine wamaliziee wanajamvi
 
Hawa watoro wa vikao ndio wanao turudisha nyuma kiongozi. Ila tuwavumilie tu maana ndio wenzetu
 
Achana nao watakuumiza kichwa mkuu fuata mambo yako.
Broo kweli tunafwata mambo yetu...
Ila nawatahadharisha wanaume wenzangu hawa wanawake wa kwenye mitandao no hatariii...

Kuna moja ana mapepo hatarii ila ni Pic ya kwendaaa.Akija geto kwako hakawii kuliashaa.
 
Labda hukuwepo kwenye kikao chetu cha wanamme kilichopita.

Rejea zilikuwa kama ifuatavyo.
1. Makeups na filters hazibadiri vinasaba, USIVUTIWE NA MWANAMKE WA MTANDAONI unless unamjuaa kiuhalisia.
2. Tulishasema vibaya vyajitembeza/ vyajipost post na samaki wa mapambo haliwi.

NB:No offense

Mengine wamaliziee wanajamvi
Wajee tuu watunusuru vijana wetu wanao baki wana shangaa vijidada vipya mjini
 
Ukilijua hili broo...
Tuwakimbiee ni nyoka hawaaa...
Anazuga anakupenda muoe sasa uwone mziki wake...
Atakuambia matumiz yangu kwa mwezi laki tano na hana mtoto na anakuwa bishi hatarii
Kabisa kwa hizi nyakati umakini unahitajika haswa, mkuu umesomeka vema aisee.
 
Kabisa kwa hizi nyakati umakini unahitajika haswa, mkuu umesomeka vema aisee.
Yaap broo...maana alie oa asaivi ana sota kishenzi kuliko bachelor...
Kwakuwa hawa mangurubembe likija kwenye ndoa yako linajua limeotea mtonyo sasa broo akute ni tofauti na malengo yake heeeh... Bablai utakaa chini na kuimba tenzi zote za rohoni na kusifu nyimbo za Dini.
 
UKIONA KWA PICHA UNASEMA NAAAAM,SASA KUTANA NAYE USO KWA USO!🤣
KITUKO HASWAA
 
Wanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu.

Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu.

Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye ngozi nzuri ya kuvutia.

Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kuwa tahadharisha nakuwaeleza tuachane nao kabisaaa.

Wengi wao ni wavivu wa kupika kufua hata kazi hawawezi asee.
Ila ukiliona kwenye mtandao si utasema mwanamke si ndo huyu.

Kuna moja limeachika tuu juz juz lakin linavyo jitupia na kama humjui mwanaume unaweza kusema mbona huyu kashushwa na Mungu... Sasa fuatilia heeeh. Maana kila bwana ka mgegeda na hata Pombe kali zote anazijua kwa majina na Alcohol zake[emoji23]

Mwingine yule wa Mbunge wa Mbeya bhanaa ukiona post zake mbona unaweza sema pis ya kwenda sasa kale mzigo azae afu usitume matumizi mamaaaa... Hakuna rangi utaacha ona.

Ningekuwa na hata na uwezo mama na dada zangu ningewageuza malaika tuu wakaishi mbinguni kuliko jamii ya wanawake wa sasa.

Yaani ni uchafu kuoza....
Mimba wao ndo watoaji.

Niishie hapo tuu kuwakumbusha wanaume zetu hasa hawa wanawake wa kujipost post ni sheedaaaaaaaaa.
Fanya kazi tafuta pesa utawapata wale ambao ukikutana nao live utasema aaah kweli kitu org...... Shida we unaangukia kwa kina Mwajuma wa gongo la mboto filter nyingi ukikutana nae gaga hadi kweny lips
 
Fanya kazi tafuta pesa utawapata wale ambao ukikutana nao live utasema aaah kweli kitu org...... Shida we unaangukia kwa kina Mwajuma wa gongo la mboto filter nyingi ukikutana nae gaga hadi kwenp
Pesa ninayo tuu bidada nayo pesa kula mwaka mzima bila kufanya kazi.
Ila hawa malayer wa kwenye Tik tok hee hujui tu...
 
Temptation za capitalism zina nguvu sana tumia ufahamu kuviruka viunzi,ukishindwa twakupa mkono wa kwa heri....

Tone ya uzi wako inachuki kubwa na wanawake/jinsia ke,ambayo bila shaka la tone imejengwa na world view kupitia dini(religion world view,)
Umetaja abortion,mbinguni,malaika, sasa tazama religion world view(tanzania ukristo & islam):-abortion ni dhambi,kuna hell na heaven,wanawake ni daraja la pili,wanawake ni viumbe dhaifu,dini yangu ni sahihi100%....

Jinsi mtu azamavyo ndani zaiidi kwa dini ndivyo chuki na kutenga kiumbe mwenzako kwa matendo na mawazo yake inavyokuwa kali kama pilipili:

HITIMISHO:WANAWAKE na WANAUME WOTE TUNA DARKSIDES,
 
Back
Top Bottom