Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

Mkuu kipi kimekusibu???

Sipendi tu hii tabia naona imekuwa kama fasheni, yani unakuta kila duu anajifanya yupo bize na simu.

Unakuta mpo na mtu mnapiga story ila yeye kidogo anachungulia simu unaona uyo kaanza kuchat ta ta ta ta ta ta wewe hapo unaongea unaendelea.......... alafu ukipiga kimya kanasema eti ulikuwa unasema?

sijui kwa nyinyi kama mnaona kawaida ila mimi naona ni ulimbukeni.
 
Mwanaume kama huyu ataishia kumnunulia N.tochi

Mwanamke anayejielewa naweza mnunulia ata gari, kagari ka mil 5 akanishindi.......ila awa washamba wa kuishi na watu ata glass ya cocktail simnunulii.
 
Sipendi tu hii tabia naona imekuwa kama fasheni, yani unakuta kila duu anajifanya yupo bize na simu.

Unakuta mpo na mtu mnapiga story ila yeye kidogo anachungulia simu unaona uyo kaanza kuchat ta ta ta ta ta ta wewe hapo unaongea unaendelea.......... alafu ukipiga kimya kanasema eti ulikuwa unasema?

sijui kwa nyinyi kama mnaona kawaida ila mimi naona ni ulimbukeni.

Ulikuwa unasema!!!

Sorry nilikuwa naangalia kitu JF
 
Usiwe punguani we dada, unafikiri kila anayekuungia story anakutaka?

Hizi ni swagger za form 2 mziache kutuletea maofisini na kwenye ma-pub

Sema huna swaga mkuu, ukiwa vizuri simu inawekwa pembeni na anakusikiliza, ukibore anarudi kwenye simu.
 
Hivi maisha ya mtu mwingine yanakukwaza vipi mkuu?

Na wewe uache ushamba maisha yake akaishi peke yake kwao sio upo ofisini unaleta ushamba wa kuchat muda wote......umefika sehemu umekuta watu wanaraha zao wanapiga story ye akifika anasalimia jamani mambo zenuuuu,,,,,watu poooa karibuuuu unamwona uyo katoa kasimu kake anaanza kuchat anajichekeshachekesha kujifanya simu yake ina jipya saaaaana sisi tunaaoongea wote manguchiro.
 
Uandishi wako uko poa sana.Yaani maneno uliyoyaandika yamemchora mtumia simu "live" anavyo mangamanga na simu(nacheeka)!
 
Haha we ndo mshamba ulidhani utashobokewa xaxa ye kakukaushia unalialia loh
 
Sema huna swaga mkuu, ukiwa vizuri simu inawekwa pembeni na anakusikiliza, ukibore anarudi kwenye simu.

Mimi swagger zipo on toka nipo primary skool can u imagine....sema sipendi mtu wa kuzidisha ma-sinema.

Maisha yenyewe rahisi kwa nini u-complicate?
 
Haha we ndo mshamba ulidhani utashobokewa xaxa ye kakukaushia unalialia loh

Ndio nyinyi nyinyi...hivi uhoni aibu mama zima unaandika xaxa kama mtoto wa form two....Yaaaani nyie mademu washamba mnanikera natamanigi nitoe kichapo basi tu
 
Yani kuna wadada washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje

Ukiona ivo ujue vya ivo ni vya miaka ya 18-23.
Vikishagongaga kuanzia 30 na kuendelea, vinakuaga macho kodo kuangalia wanaowatongoza na kuwatangazia ndoa.
 
Uandishi wako uko poa sana.Yaani maneno uliyoyaandika yamemchora mtumia simu "live" anavyo mangamanga na simu(nacheeka)!

Yani mkuu hii tabia siikubali kabisa....mimi napenda mtu anayejielewa, ila wanaojielewa wamebaki wachache sana siku hizi. Demu anayejielewa anajua akiwa mazingira yepi anatakiwa afanye nini na aishi vipi na watu....sio kwacha kwacha kwacha kuchat tuuuuu
 
Yani kuna wadada washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje

Twa ivo ni vya miaka ya 18-23.
Vikishagongaga kuanzia 30 na kuendelea, vinakuaga macho kodo kuangalia wanaowatongoza na kuwatangazia ndoa.
 
Yani kuna wadada washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje

Twa ivo ni vya miaka ya 18-23.
Vikishagongaga kuanzia 30 na kuendelea, vinakuaga macho kodo kuangalia wanaowatongoza na kuwatangazia ndoa.
 
ila inabore sometime unajikuta umejipinda kweli kumsalimia mtu kwa moyo.....haitikii au anaitikia kama hataki vile.....ndio maana pia siku hizi salamu sio ishu mawatu hayasalimiani kama zamani
 
Hahaaaa!!!!
Kuna yaliyokusibu Si bure!!
 
Back
Top Bottom