Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

fanya yako hata wakizila cm zao we inakuhusu vip?je salam zinaulazma we unaelekea mswahili sanaaa

Mimi kiukweli ni mswahili sana wala haujakosea....vipi wewe mwenzangu ni mzungu?? au kubofyabofya simu ndio uzungu ni kama sijakuelewa?
 
Akijifanya yupo busy na simu yake, na wewe Kuwa busy tu na mambo yako. Kwani lazima kumuongelesha ndugu???
 
Hayo ndo majanga yaliyoimbwa na Snura kubofya abofye yeye,wewe ukwazike? Ukiona yuko busy na simu mpotezee
 
Duuuhh... mkuu mbona umejaa upepo na kitu kidogo sana??? mimi naona siku hizi kila mtu yupo busy na simu kwasababu hata wewe hapo upo busy na simu yako ukisoma na kureply comment za watu.
 
Kumiliki smart phone/window phone, bando la jero, unasafu every social network in the world!!!! Hivi vitu bado ni kama ndoto kwa watanzania wengi sio kina dada tuu,so ndio maana wanatumia kwa usongo uliopitiliza mpaka watu wanakua na vibiongo na macho ya kichina kwa ajili ya ulimbukeni, anyways ni kaupepo tuu katapita watu wakishazoea.
 
Utajuaje km alikuwa anajibu sms ambayo inahitajia aweke fikra huko ili pate point za kujibu then wewe unakuja na maongezi maongezi yako...Hujui ukimtoa mtu ktk kitu alichokuwa anakiandika kwa kutoa point kichwani ghafla zinaevaporate?

Tatizo la WATZ wengi wanatabia ya ku interact mtu akiwa ktk concentration ya maongezi au akiwa anaandika kitu muhimu kisa ni maongezi yasiyokuwa na point...Unatakiwa ukimuona mtu yupo anaongea na mtu, au unamuona ktk hali ambayo unahisi ameweka mawazo yake ktk kufanya kitu fulani, fika, simama mbele yake au simama pembeni yake usimuongeleshe kwanza. Kama atakuwa hakuwa ameweka concentration lazima atakusikiliza na kukuongelesha sababu kakuona...

Nchi za wenzetu wanaheshimu sana kuepuka kumu interact mtu....Na km ni kitu cha muhimu unatakiwa kuuliza na kusema samahani unaweza kunisikiza au uko busy ? akisema Yes...ndipo unaanza swaga zako...



Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu.

Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.

Ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia halafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa huku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia? nitakukata ngumi mbili ufe.

Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie?

Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.

Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.
 
hahahhahaha...umenichekesha sana mkuu,kwa hiyo unasema wana macho ya kizamani kwa sababu yakuchungulia huku na huku
 
Sio wewe tu mimi pia nachukia hiyo tabia ile mbaya
 
Gentleman umenena.....dhiki ndo znawafanya wawe hvyo...hawana lolote zaid yakujianika mitandaoni..frustrations tu za maisha znawafanya wawe hvyo...wapuuze
 
Ni ufeki na kutokujiamini! Vikija kushtuka 30 hii hapa vinashangaa maisha yamewapita wapi kumbe ni kwenye insta na whatsapp.

Mimi nashukuru aisee wangu hana time, kwanza tukiwa out mimi ndio huwa nasikia aibu jinsi navyobofya JF mpaka sasa naamua kuipa mida flani.

Kiuhalisia a true gentleman au a lady, huwezi ukaona katoka na mwenzie au wenzie halafu wamekaa sehemu halafu simu habanduki mkononi zaidi na kuchat mda wote, mara selfie, sijui akuonyeshe msg.
Unavikuta vingine vimejipodoa maskini vimejikusanya vi4 au vi5 vikatoka weekend. Sasa kwenye meza vyoote ni ubize kwenye simu hehehe.
Hata hivyo nashukuru umri huo umenipita, zaidi ni vya kuchapwa mara moja moooooja nikiteleza kwa bahati mbaya na kama itakua sio vizuri mbele ya society kutotafuna.
 
Hahaha ningekunyoosha tu bado haujashindikana.

Nikiwa na mbebez, huwa sibofyiii kabisaa...simu naiweka mkobani kabisa, labda aniruhusu ndo naweza kuingia jf kidogoo (am addicted)....hata nikiwa na wageni au kikao na watu wengine huwa sichezei simu...ila unikute peke yangu sasa, au na mtu nisiyemjuaaa...mweee...

Nikiwa kwenye daladala au bus naenda mkoa ndo naongeza na ear phone kabisaaaaaa......kutongozana sitakiiiiiii......!
 
Kengine kana mwili mdogoooooooo hakajai hata kwny kijiko utakuta kana lisimu hilooo balaaa! hata kulishika hakawezi.Kila muda ni kulipangusa kutoa password za maherufi wanayoweka.
Weee toka hapa nitakukata kibao hadi watu kwny daladala wapagawe.Hatuna hata adabu,kusalimia mama zao hakuna! wala wazee.
pu.mb.a.v.u
 
watu mnamsema tu author ila hii imekuwa trend kwa wadada.na ni kitu cha kutilia maanan koz kinaboa in some ways.sawa sijakununulia simu ila kuna muda Mtu inakubid uwe seriouz.mfano kikao cha kazini watu mnahangaika kutoa mawazo name maboresho afu mtu anachezea simu then anakuja anajifanya ameshtuka anauliza hajui anawarudisha nyuma hapo.mwingine chuo groups discussion ama mna assignment anachat na simu tu mpaka mnamaliza kwakweli ni vibaya.Kuna engine had mbele ya wazazi nowadayz anampa mzazi masikio tu attention yote iko kwa simu.be it boys or girls. jueni tu hyo mambo inakera.koz mnaonekana na dharau.na MTU akikuona una dharau ujue anakushusha kredit.
 
hapo ngarenaro arusha.kasista duu kako kwa gari ya kwa mrombo dirishani kumbe kageni jamaa kakaa nacho karibu kakatia Dada mambo,kamekoncetrate na cimu,kumbe jamaa anataka kumuambia hapa wanakwapua so ficha cimu aka funga kioo,hakamsikilizi.mungu sio mourinho bwana sekunde chache kumbe kuna mwanaalikua anamsoma tu huku anatembea pembeni anaifwata gari koz kuna foleni gari imesimama kakwapua simu kashukia ungalimited nduki.kadem kanaanza kulia name kujifanya kazungu eti kanamuuliza jamaa "did u see that,???jamaa kajibu see what??
 
Back
Top Bottom