Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

Sipendi tu hii tabia naona imekuwa kama fasheni, yani unakuta kila duu anajifanya yupo bize na simu.

Unakuta mpo na mtu mnapiga story ila yeye kidogo anachungulia simu unaona uyo kaanza kuchat ta ta ta ta ta ta wewe hapo unaongea unaendelea.......... alafu ukipiga kimya kanasema eti ulikuwa unasema?

sijui kwa nyinyi kama mnaona kawaida ila mimi naona ni ulimbukeni.

Nawaza hapa n.kipi kinakupelekea kukwazika na mtu ambae hakushughulish kwa lolote!!! Sim ya kwake wewe vipi inakuuma au dem wako?? Akibofya yake we bofya yako
 
Ukiona ivo ujue vya ivo ni vya miaka ya 18-23.
Vikishagongaga kuanzia 30 na kuendelea, vinakuaga macho kodo kuangalia wanaowatongoza na kuwatangazia ndoa.

h ha ha ha et macho kodo..wengi tumewaona huku mtaani, mwisho wa siku wanapigwa mimba na kutoswa!!
 
Siku nyingine ukiona mtu yuko bize na sim usimsalimie hahahahaha
 
Nawaza hapa n.kipi kinakupelekea kukwazika na mtu ambae hakushughulish kwa lolote!!! Sim ya kwake wewe vipi inakuuma au dem wako?? Akibofya yake we bofya yako

Huu ndio ushamba nnaosema mlionao...wewe unajua bado ujazoea smartphone bado unazishobokea, kwa nini ukae na mtu alafu uwe bize na simu nimekuita tukae wote?? au umewafata watu wapo wanakula happy somewhere wanacheka wanaongea wanafurahi wewe upo bize na kasimu kako kama mchawi.

Jifunzeni kuishi na watu simu ni yako na hakuna aliyesema si yako na hakuna hasiyezijua simu ila tunachosema ushamba hatupendi kama unataka kuishi kimpango wako uwe unakaa peke yako na kasimu kako ustukate stimu wala ustusogelee.
 
Yani kuna wadada washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje

mkuu pamoja na ukweli uliosema, nimecheka hapo uliposema unatamani umkate ngumi... You make my day
 
Huu ndio ushamba nnaosema mlionao...wewe unajua bado ujazoea smartphone bado unazishobokea, kwa nini ukae na mtu alafu uwe bize na simu nimekuita tukae wote?? au umewafata watu wapo wanakula happy somewhere wanacheka wanaongea wanafurahi wewe upo bize na kasimu kako kama mchawi.

Jifunzeni kuishi na watu simu ni yako na hakuna aliyesema si yako na hakuna hasiyezijua simu ila tunachosema ushamba hatupendi kama unataka kuishi kimpango wako uwe unakaa peke yako na kasimu kako ustukate stimu wala ustusogelee.

T culd be better if you take out a speaker and speak it out.........changes begins wid u...vipi hapo kwenu ina maana hali haipo una kaz nzito ushamba wa mwengine.ukutoe jasho kwa kipi
 
Ndio nyinyi nyinyi...hivi uhoni aibu mama zima unaandika xaxa kama mtoto wa form two....Yaaaani nyie mademu washamba mnanikera natamanigi nitoe kichapo basi tu

Hahahaha mama in yule aliyekutia tumboni miezi 12 acha ushamba WA kulazimishia mambo eti umempa attention yako idiot unadhani kila mwanamke anahitaj att ya Wapuuzi na si kila anayebofya simu anahangaika na wanaume wingine wanasoma we usiyejua maana ya simu ndo unaona wanachat Fanya yako by the way sim ulinunua wewe mpaka ukereke nonesense
 
Yani kuna wadada
washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna
maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai
uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje

mr gentlema leo umenichekesha et kadada kanakuwa bize ahaaa heri yangu na kinokia changu cha toch.
 
Na wewe uache ushamba
maisha yake akaishi peke yake kwao sio upo ofisini unaleta ushamba wa
kuchat muda wote......umefika sehemu umekuta watu wanaraha zao wanapiga
story ye akifika anasalimia jamani mambo zenuuuu,,,,,watu poooa
karibuuuu unamwona uyo katoa kasimu kake anaanza kuchat
anajichekeshachekesha kujifanya simu yake ina jipya saaaaana sisi
tunaaoongea wote manguchiro.

mkuu hii imekuuma. ila kama mm sipendagi mtu aniite eti siiiiiiiiiiii
kabisa na mute.afu mtu akiniita napenda kunsikiliza nikiona ni under age
natanguliza mambo mdogo wangu ili asiendelee.tho namsiliza afu namwambia m dada yako. pole
 
Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu...Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.

ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia alafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa uku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia pouwa,,,,,pumbaaaaff ntakukata ngumi mbili ufe.

Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie??

Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine....chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.

Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.



Kwa East Africa nafikiri Tanzania ndiyo nchi iliyo na washamba na malimbukeni wengi. Yaani a simple thing hapa Tanzania is a big deal. We mtu gani masaa 24 yuko kwenye simu, si ujinga huu? Kwanza mwanaume akikuona kila dakika uko na simu unajisheua anakuachilia mbali hataki kudeal nawe kwani unaonyesha udalili wa kuwa mchepuko wa wengi. Si kila mda mtu unakuwa na maongezi ya simu. Kina dada acheni ujinga.
 
Mkuu unaishi maisha ya shida sana kujaribu kukontroo maisha ya mwengine.

Akijifanya hajakuona wewe jifanye humjui......
 
Kweli kabisa..
Huu ni ushamba,watu wanadhani kuwa fb,waxup,twter,tango,viber nk...ndio ujanja
Asubuh,mchana,jioni hadi usiku yeye na kisimu..
Hivi ni muda gani anafanya kazi,anafikiria....
Lol!!
 
Ungekuwa unakaa na mimi ungekuwa ushaniua...kila saa niko na simu...home wamepiga kelele wamechokaa...inahuuu...
 
Duuuuh! Don't give a dem much attention.., mr gentleman, nenda kanywe tusker baridi mixer viroba jojoo saba akili itakurudi.
 
hiz smartphone ztawafanya usiku waingie kwenye mitaro kwa sababu ya kuconcetrate kwenye cmu
 
Back
Top Bottom