Kengine kana mwili mdogoooooooo hakajai hata kwny kijiko utakuta kana lisimu hilooo balaaa! hata kulishika hakawezi.Kila muda ni kulipangusa kutoa password za maherufi wanayoweka.
Weee toka hapa nitakukata kibao hadi watu kwny daladala wapagawe.Hatuna hata adabu,kusalimia mama zao hakuna!
Yani maneno yote hayo yanakutoka kwakufatilia maisha ya mtu? Akiwa na simu kubwa hadi hawezi kuibeba we inakuuma nini? Asipo kusalimia si usalimie weye? Hivi maisha yamekuwa magumu kiasi hicho hadi mnafikia kukasirikia minor things hivi, lol! Vipi mbeya wazima?