Wanawake na umbea wa saluni

Wanawake na umbea wa saluni

Ninachofahamu ni kuwa, ukienda saloon ufunge mdomo wako, unachoongea pale ukiondoka huku nyuma wewe ndiyo unakuwa the topic.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Waiter zungusha Mvinyo kwa mtt Mzur[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
 
nanyoa nikichoka kusuka rasta hua sitii dawa miye
msusi namlipa nyumbani
Wife material[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
duh inanibidi kabla sijaoa nijifunze kusuka sijuikuweka weaving sijui ndo jina lake sijui nilimokesea nadhan hii itasaidia kupunguza safari za kwenda saloni.nitamtengeneza nywele wife mm mwenyewe
 
Back
Top Bottom