Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Hehehehehe
Hehehehehe
Hata usipoongea watasema tuu..."Huyu nae ndo nn kujifanya mzungu hajachangia hata nenoo angeenda New York acngekuja hapa,hehee" saloon hawaishiwiNinachofahamu ni kuwa, ukienda saloon ufunge mdomo wako, unachoongea pale ukiondoka huku nyuma wewe ndiyo unakuwa the topic.
Mkuu afadhali waseme unaringa kuliko kujichoresha.Hata usipoongea watasema tuu..."Huyu nae ndo nn kujifanya mzungu hajachangia hata nenoo angeenda New York acngekuja hapa,hehee" saloon hawaishiwi
Tena sanaHatari
Na ukizingatia,Mkuu afadhali waseme unaringa kuliko kujichoresha.
Mkuu mbona umewadharau sana masai?Duh una moyo sana aisee na ambacho hukijui wamasai wanawala sana wanawake aisee bora nichapiwe na mtu anayeeleweka ila sio Masai no mwanamke anakuwa amekudharau sana
sitii dawa!Nywele unaziset na kusuka wapi mkuu.
Mimi ni mmasai naomba hiyo bingo.
VipiKhaaaaa

Wewe kwako hufanyagi hayo?Vipi![]()
Mie sijui kusuka ila nimeweka mtu, kwhy huwa sina time ya kushinda huko kupiga umbea na bla bla zingine.Wewe kwako hufanyagi hayo?
Sawa mkuu, napenda wanawake wanao jielewa kama wewe, mungu akupe utambuzi zaidi ya ulio nao sasa maana wanawake wengi wanaharibiwa na makundi!!!Mie sijui kusuka ila nimeweka mtu, kwhy huwa sina time ya kushinda huko kupiga umbea na bla bla zingine.
Masai hafai chupiiiiiiiNdo mana mi wife uwa nampeleka kwa wamasai tu
Atakuwa anapenda ile harufuNdo mana mi wife uwa nampeleka kwa wamasai tu
HahahaaaNilikuwa najiuliza ilikuwaje nikaoa mke kipilipili lakini kwa uzi huu kumbe nilikuwa sahihi
Si unaona hekaya za saluni ndugu yangu pasua kichwa kuna makungwi huko wana PHDHahahaaa
Tabu ya Saluni yote ya nini? Tafuta wigi kama la Spika mstaafu Anamakinda mkabidhi mkeo alivae miaka kumi, kama yule mama alidumu nalo miaka kumi mkeo hashindwi.

Tabu ya Saluni yote ya nini? Tafuta wigi kama la Spika mstaafu Anamakinda mkabidhi mkeo alivae miaka kumi, kama yule mama alidumu nalo miaka kumi mkeo hashindwi.