chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,112
Mm kuna sehem wadada wanasukana nlivyopita tu wakaachia kicheko nkaangalia labda sijafnga zipu au suruali imechanika matakoni.
Wanawake bwana.

Mm kuna sehem wadada wanasukana nlivyopita tu wakaachia kicheko nkaangalia labda sijafnga zipu au suruali imechanika matakoni.
Wanawake bwana.

Ndio tabia yako?!
Uyo Masai ukimpigisha msasa yupo vzr tuuHahahha kuna swala la hadhi mkuu...masai msusi na meneja wa kampuni kipi afadhal lol
Hawa huwa wanakera sana. Unakuta katika daladala wanaongea wao tu hata mambo ambayo hayatakiwi kusikiwa Na watu wengine.!sikuhizi hata kwenye madaladala wanapeana umbea kujichekesha kwa sauti makelele bila aibu wala kujali kuwa wapo kwenye usafiri wa umma...SIWAPENDI HAWA!..
HatariOngezea kinyume na maumbile.
Kwa masikio yangu niliwahi kuwasikia wanawake Saluni mazungumzo yao (bila wao kujua mimi nilikuwa nikiwasikia).
Mazungumzo yalikuwa hivi,
"Kuna Wanaume wa ajabu sana, wewe Mwanamme gani mara ya tatu mnakutana lakini yeye haulizii nyuma"
Mwingine "Mwanamme ambae hakuulizii nyuma, ujue huyo hajakamilika"
Yaani kwa madai yao, kidume ni yule ambae anawaingilia kinyume na maumbile.
Sasa hapo, kama kunakuwa na Mwanamke mwenye akili za kushikiwa na hajawahi kuingiliwa kinyume na maumbile, si ndio rahisi kushawishika na kuona nyuma ndio ujanja.
Kwa yale mazungumzo yao nikapata jibu wale Wanawake wote waliokuwa wakiongea ule upuuzi pale Saluni, wanacheza michezo ya hatari.
Kwa kweli nilijisikia vibaya sana
Ndio tabia yako?!
hapana kwakweliWw huwa unapiga story gani?!hapana kwakweli
daaah sio muongeaji kwaio hata mpaka unikute napiga story sio rahisiWw huwa unapiga story gani?!
Ndio maana pm zangu hujibu?!daaah sio muongeaji kwaio hata mpaka unikute napiga story sio rahisi
Naomba ujib pm basi acha kunicheka
nshajibu nenda kaisomeNaomba ujib pm basi acha kunicheka