Wanawake na ndoa

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Wanajf,

Natumaini weekend imeanza vyema. Kwa hivi karibuni nimekuwa nikifanya utafiti binafsi juu ya mahusiano nikagundua kwamba wanawake, hasa wanachuo wanadanganyika sana kwa sababu wengi wapo tayari kuanza mahusiano mapya tu ilimradi ataahidiwa ndoa. Wengi wanapoingia vyuoni wanakuwa na marafiki ambao ni agements wao lakini baada ya hapo huanzisha mahusiano na watu waliowazidi hasa kiumri kwa matumaini ya ndoa. Hili limechangia wengi kupata mimba, hasa finalists wakidhani ni security kwa hao wapenzi wao lakini baadaye huachwa wakilea watoto. Je huu msukumo wa wanawake kupenda ndoa ni wa kijamii or is it by nature. Binafsi sijaoa na nimegundua kwamba girl f( nampenda na namjali sana) wangu anapenda sana ninapomgusia mambo ya yeye kuwa mke, mama watoto,

Je kwa mtindo huu wa kupenda sana ndoa udanganyifu kwenye mahusiano utaisha?

GZ
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,987
It seems hii research hukuanza from Ground zero....

Wanachuo wengi wanaomaliza wadada ni kweli wapo wanao ingia kwenye ndoa tokana na the fact kua wale ambao hudate wa makazini, humendea that group sababu yeye the guy anakua tayari kuoa akiamini kabisa kua watapeana support by the time huyo graduate akipata kazi (among other reasons...).. However kuna wengi saana ambao hua hayuko tayari kuolewa akitaka kwanza afanye kazi kidogo na aangalie ulimwengu wa huko nje uko vipi... na uta fare vipi... akiamini it is better aanze kazi kwanza maana atakutana na watu wa maana wa kudate pande hizo...
 
Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Ni kweli AD kwamba utafiti wangu hauko based gz. Hawa wanao wanaoamua kufanya kazi kwanza baadaye huishia kwenye frustrations, nina mifano mingi ya wanawake wenye elimu na pesa lakini wanakosa serious relationship kwa sababu wanaume wengi hawapendi/ wanaogopa kuwadate wanawake wasomi/wenye pesa kwa hofu ya kukosa control. Hili limechangia graduates wengi kutamani ndoa tu baada ya kutoka chuo. That's just the awy I see.
 
Hapo kwenye color napo sio in most cases... nahisi umechanganya (sorry... hata hivo labda nakosea) but ukweli ni kwamba wadada wengi ambao hufanya kwanza kazi... wengi hua married fron 1 - 4 years kua kwake kazini... hua mara nyingi ndio the almost perfect marrying age kwao... Ila wale ambao hu go on forever... ndio hua tatizo na kukutana na hayo kwenye red...
 
Da Dinnah

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
504
180
Ni kweli tunapenda ndoa, nani anapenda aishi mwenyewe maisha yake yote, na kama unapata nafasi kwa nini usiitumie, wanachuo labda wasichana wakiingia chuo huwa na uhusiano na mwaka wa mwisho hii inafanya wale waingie kazini wakati wewe bado unasoma, kwa hiyo ukimaliza jamaa anakuwa tayari kwa ndoa..bado nafikiria kuolewa ni heshima hasa umri ukifika
 
Thanks for being truthful
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,519
kila mtu,gal or boy ana fairytales zake.kuna ndoto ameota toka mdogo.jamii aliyokulia pia inachangia mawazo ya mtu mwenyewe. hii influence ya kutaka ndoa tu bila kujali modality yake,inachangiwa na jamii zetu.lakini suala la kujibebea mimba pia kwa ajili ya security ni akili ya mtu binafsi.kuna mabinti kwa mfano,ambao hawawezi kukubali kuolewa b4 hajafanya kazi na kuwa walau na vichache. hasa kama mtu anapenda kuwa independent especially financially. kuna zile mtu anahamia na kibegi chake cha viwalo,siku mbili tu unasikia ulikuja na nguo tu humu! sidhani kama kuna presha yoyote ya kuolewa, its about meeting the right person and marrying them for the right reasons!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,519
mkwe wa kambo,hata mie naanza maombi ya kufunga na kuomba kwa ajili yako. ukija zeeka kama mie,huna nguvu ya kwenda club daily,unahitaji mtu walau wakuongea nae. usije ukastukia shuka kumekucha
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
naomba uniombee bb.
<br />
<br />
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom