kwahyo alisema mmuue au mchukue lile lejesho lake naamin hamku muua mlifaid na mm ntafungua microfinance yang [emoji28][emoji2]Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hela zitapatikana tu nitawauzia hata vitenge Kwa bei ya jumla ,ila hii mikopo hapana aiseeTunatunzana kwenye kitchen party. Wait, Kwahiyo mleta mada ametuchoka sisi wateja wake au hatutaki tena. Mbona anahamasisha tuwezeshwe kiuchumi, sasa atapata wapi wateja tena?
[emoji16][emoji16][emoji16] kiukweli mbususu ziko nje nje ni wew tu kujikaza kufunga zipu yakokwahyo alisema mmuue au mchukue lile lejesho lake naamin hamku muua mlifaid na mm ntafungua microfinance yang [emoji28][emoji2]
Hela ipo sana kikibwa wajue ni nani kawakopesha mike na wasikuzoee hata kidogoShukrani sana Mike,acha tu some upepo mtaani Kuna hela kama mtaji unao na ukatulia ...
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sina familia ya kulisha Lamomy kwa mangi nikope ili iweje ?Pole sana [emoji23]
Halafu tukisema wanawake wa siku hizi wanapenda hela kupitiliza wanakataa. Unakuta demu mmoja ana vikoba viwili,mchezo majina matatu ana mikopo miwili ,kipato chake hakilingani na hizo pressure alizo jitengenezea, so hapo lazima tu atauza indirectly ili apate hela.Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pesa zao nyingi hawa zapati kwa haki ndiyo maana hawa lolote walifanyalo likaleta matunda mema kwa Jamil.Hela sijui wanapelekaga wapi, wanawake tuambieni hela mnapozipeleka.
Mkuu utakuta wengi wao wana beba majukumu ya Nyumbani kwao!! Yani utakuta binti ana fosi kumaliza umasikini wa wazazi wake na ndugu za uko kijijini, badala ya kujipanga yeye na Mume wake kujenga uchumi wao kwaajili ya kizazi Chao cha sasa na cha baadae, Mabinti kama hawa ndiyo maana wafanya uchumi wa kwenye ndoa unakuwa mgumu kukua kufikia uchumi wa kati.
Mkuu kisheria inakubalika kweli mfano mke kuweka dhamana TV, Friji, na kabati wakati hivyo vitu risiti zimeandikwa Jina la mume na siyo Jina la mke, Mume si ana weza kuzuia vitu kuuzwa?Los santos mnakosea kuwakopesha wake za watu bila signature za waume zao. Siku mkifuatilia rejesho kwa mke wa mtu, akashindwa kurejesha, mtachukua assets alizoweka rehani bila mume wake kufahamu?
Sasa mna uhakika gani hivyo vitu vya huyo mkopaji?Sasa mtu anakopa individual mume wake sisi anatuhusu nin? Pia sisi tunachukua asset za mwanamke anazofanyia biashara mfano vifaa vya saluni au duka ,pia Kwa wale ambao wanaume wao wako nje ya nchi sisi tunabeba vitu mwanamke alivyoweka rehani so hayo mambo ya kumjua mume naona Sasa itatubidi tuanze kuzingatia napo ni ustaarabu tumeamua tufanye manake wanaume wenzetu tunawaonea huruma sana ....
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pole yake, ndio maisha akomaeSina familia ya kulisha Lamomy kwa mangi nikope ili iweje ?
Kinachonisikitisha umeyagusa nje ndani maisha ya boss wangu na jana wakati unaposti vile nilikuwa naye ananipiga mikwara njaa huku najua ana madeni kwa mangi yaani nikajikuta namhurumia sana .
Ila uliongea uhalisia maisha ya watu wa Tamisemi ni tabu tupu wananuka njaa tunanuka njaa japo hatutaki kukubali ukweli wa mambo .
Kwako mzee wangu wao ni wao
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
π hakika hamjawahi kuelewekaππππ Huo ni ule umekopa marejesho kila siku haina kuumwa wala kufiwa unatakiwa urejeshe pesa ndo unaitwa hivo. Hawamaanishi vingine bana