Unakuta mchezo umeisha lakini bado ana rejesho la mkopo, hivyo inabidi aendelee kucheza ili alipe rejesho.Tumepata pa kuanzia lakini hiyo michezo ikitamatika mbona hakuna tofauti na mwanzo shida ni zile zile kwa walio wengi, hakuna maendeleo? Kwa haraka haraka jibu naona umeshalitoa ni ngumu kutoka kwenye huo mzunguko.
Kweli ni umasikini, unakopa ili ulipe deni mwsho wa siku inakuwa ni kawaida.Unakuta mchezo umeisha lakini bado ana rejesho la mkopo, hivyo inabidi aendelee kucheza ili alipe rejesho.
Akimaliza kulipia mkopo, kwenye mchezo alishachukua pesa anatakiwa kuwatolea wenzie, inabidi akope tena.
Nayaona haya, na mara zote nawaambia wanachokifanya ni umasikini hawasikii.
Hujafika huko wapi?binafsi sijafika huko ila mambo ni mengiπ
WatatujibuNa je wako tayari kutoka kwenye hiyo michezo
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Saloon ππHela sijui wanapelekaga wapi, wanawake tuambieni hela mnapozipeleka.
Hiyo haiwezi maliza hela zote mnazozipambaniaSaloon ππ
Hujafika huko wapi? Hukopagi kikoba? Unatengenezaje faida?binafsi sijafika huko ila mambo ni mengiπ
Jirani mimi muuza vijora kkoo, nakopa bank naboost biashara yangu..!!
Tunaendea kupumzisha mafuvu porini. Kwanza hapa kila mtu na majukumu yake,, single atakesha anamodify anapoishi. Married sijui, wafanya biashara nkHiyo haiwezi maliza hela zote mnazozipambania
Kama nyie ni wachache na mnafahamika kutokana na biashara, lengo lipo na maendeleo yanaonekana ila hawa mnaowauzia hivyo vijora ndio changamoto.Jirani mimi muuza vijora kkoo, nakopa bank naboost biashara yangu..!!
Na pesa zangu zinafanya vitu vya maana. Sijawahi kukopa ili nivae au niringishie watu mtaani, wakinga hatuko hivo..!!
Labda wengine wasiojua nini maana ya mkopo π
Bado hamjasema naombeni mseme hizi sio sababu za kumaliza helaTunaendea kupumzisha mafuvu porini. Kwanza hapa kila mtu na majukumu yake,, single atakesha anamodify anapoishi. Married sijui, wafanya biashara nk
Great thinkerLos santos mnakosea kuwakopesha wake za watu bila signature za waume zao. Siku mkifuatilia rejesho kwa mke wa mtu, akashindwa kutejesha, mtachukua assets alizoweka rehani bila mume wake kufahamu?
Kumalizaje hela? ππ hapa huwezi pata majibu utakayo sbb kila mtu ana kipato chake, wakopaji wana sababu zao.Bado hamjasema naombeni mseme hizi sio sababu za kumaliza hela
Hao tunaowauzia ndo tatizo sasa πππKama nyie ni wachache na mnafahamika kutokana na biashara, lengo lipo na maendeleo yanaonekana ila hawa mnaowauzia hivyo vijora ndio changamoto.
Hela zinaelekea wapi nyie watu? Mtu ana kikoba, ana michezo kedekede lakini bado hana unafuu wa maisha stress zimemjaa, swali n hela mnazozipata mnazipeleka wapi?Kumalizaje hela? ππ hapa huwezi pata majibu utakayo sbb kila mtu ana kipato chake, wakopaji wana sababu zao.
Na sare za vijora mnawauzia wakavunje vikoba lakini wapi bado tabu iko pale pale, naanza kuamini hivi vikundi vinawanufaisha wachache kuliko wengi.Hao tunaowauzia ndo tatizo sasa πππ
Anatafuta show off za kutunzana kwenye vigodoro kwa pesa ya kausha damu
Na kweli haya ndo tunayokutana nayo mwisho wa siku unajikuta unakuwa mtumwa + Hili jua la DSM lilivyo na laana na madeni yte hayo ndomana wengine wanaishia kutekeleza Hadi nyumba zao wengine mpaka ndoa zinavunjikaaUnakuta mchezo umeisha lakini bado ana rejesho la mkopo, hivyo inabidi aendelee kucheza ili alipe rejesho.
Akimaliza kulipia mkopo, kwenye mchezo alishachukua pesa anatakiwa kuwatolea wenzie, inabidi akope tena.
Nayaona haya, na mara zote nawaambia wanachokifanya ni umasikini hawasikii.
Hapo bado kutunzana kwenye ShereheKweli ni umasikini, unakopa ili ulipe deni mwsho wa siku inakuwa ni kawaida.
Hujafika huko wapi?
Mambo mnayafanya wenyewe yawe mengi, una michezo 5+, naskia kuna michezo hadi ya chupi