Wanawake na mikopo

Wife wako- ndege wafananao

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo ndo na sisi tunakutana nayo mengi sana ,wengi unakuja kushtua wanajiuza
 
Sasa wao kukopa ni fulsa kwako ya kibiashara ebu itumie vizuri achana na ushauri
Maisha ni yao na mikopo wanakopa wao kile wanaenda kufanyia hakikuhusu cha msingi wape pesa wakija wakopeshe pesa na hakikisha wanarejesha mkopo

Na usipo wakopesha ww wataenda sehemu ingne watakopa utapoteza wateja
 
Lengo letu sio kukopesha tu bali kuwainua kiuchumi alafu hakuna microfinance inayokufa kwa kukosa wateja ,ukisikia microfinance imefilisika ujue walikuwa wanawachekea watu wanaowadai ,ila kuhusu kukosa wateja hakuna ,ndomana wengine wanawekaga hadi riba asilimia 40 kinyume na taratibu za BOT alafu Bado wanakuwa na wateja

Kwaiyo kusudi la mkopo ni kuwainua wakienda kinyume tuna jukumu la kuwashauri na ni jukumu letu pia...so tuna haki ya kuwauliza sasa kwenye majukwaa hela huwa wanapeleka wapi ambapo mendeleo hayaonekani
 
Sasa hapo mnafanyaje?
Tunavizia muda wa wateja saa mbili usiku tunapiga kusumbua rejesho na huwa wanatoa aisee japo wao hawaelewi sisi kama tulishapata info zao muhimu...kufikia saa sita usiku anakuwa ashakamilisha nusu deni au deni lote
 
Kisehria mwanamke aliyeolewa anaruhusiwa kukopa bila kumjuza mume na akishindwa kulipa mume anawajibika, kama ikibidi kwenda jela ataenda mume. Lakini mkopo uwe ulikuwa kwa ajili ya familia ambapo mume hakutimiza wajibu kama baba.
 
Kisehria mwanamke aliyeolewa anaruhusiwa kukopa bila kumjuza mume na akishindwa kulipa mume anawajibika, kama ikibidi kwenda jela ataenda mume. Lakini mkopo uwe ulikuwa kwa ajili ya familia ambapo mume hakutimiza wajibu kama baba.
Sawa sawa nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…