Wanawake na mikopo/vicoba

Wanawake na mikopo/vicoba

Siku mjaluo anakudaka anakufiria kwny kitanda chake hicho hicho huku mkewe akiambiwa akusafishe nya muda unashughulikiwa,*****.
Nishaapa kabisa! Sitokubali kufanyiwa hivyo nikiwa najitambua ni bora unichinje kwanza. Siwezi kukubali kuishi na psychological trauma mbaya kama hiyo itakayonisumbua maisha yangu yote heli nife.
 
Kuna mmama amejitenga na vicoba amekuwa mwenyewe anafight kimya kimya wenzie wakamsema sana na kumtenga ila leo hii wanamfuata na kutaka kumkabidhi uongozi wa vicoba. [emoji23] [emoji379] [emoji378]
 
Jamaa anonekana hawajui vizuri wanawake akili zao pale wanapokuwa na shida hasa wakifikia desperation point.

Watu wanatombwa mpaka na wauza mkaa hili apate kwa ajili ya mkaa wa elfu moja tu na ni wanawake ambao ukiwaona ni ngumu kuwadhania. Ogopa sana desperation

Hivi mwanaume unayejitambua inakuwaje mwanamke wako afikie desperation point, umwache ahangaike na vicoba? Nitampa chochote atakachohitaji, bora nikakope mimi kama itabidi. Ila rejea point yangu ya msingi, inahitajika umakini wa ziada kumpa mwanamke hela but asije akakosa mahitaji kwa sababu ya ubahili. Usipompa mahitaji yake watampa wengine.
 
Hahahahahaha mkuu umepata hasira nini??

Huyo itakuwa wanakula kimya kimya pasipo wewe kujua labda uiwekee password au labda kama ni mbovu wa sura ya kiume na wakati ni mwanamke.

Siwezi kubishana na wewe maana akili zako unazijua mwenyewe. Wanawake wanaochepuka kuna sababu kuu mbili. Moja, kitandani haridhishwi, 2. Matatizo ya kiuchumi ambayo ndiyo hoja mnayojenga. Labda sababu ya ziada, mwanamke ambaye kaba ya kuolewa alikuwa akigawa papuchi yake hovyo, huyo hulka ya umalaya imemjaa tuu na mwanaume anayemuoa basi hajamchunguza vizuri. Huyo hata umpe kitu gani atachepuka maana amezoea tuu kubadili wanaume kama nguo ya kuvaa. Zungumzieni wanawake wa aina hizi, vinginevyo Zaidi ya hapo unajisumbua tuu.
 
Hivi mwanaume unayejitambua inakuwaje mwanamke wako afikie desperation point, umwache ahangaike na vicoba? Nitampa chochote atakachohitaji, bora nikakope mimi kama itabidi. Ila rejea point yangu ya msingi, inahitajika umakini wa ziada kumpa mwanamke hela but asije akakosa mahitaji kwa sababu ya ubahili. Usipompa mahitaji yake watampa wengine.

Na hicho ndio cha kufanya ni kheri uangaike wewe na mikopo kuliko kumuacha yeye mwenyewe, hata kama ukikosa sehemu ya kukopwa unabaki kumtia moyo asijari itapatikana kesho hata kwa maneno ya uongo. Wanawake uvumilivu wao wa shida huwa una ukomo na hawanaga option nyingine zaidi ya kujirahisisha wakishifikia ukomo.

BTW msalimie sana shemeji mwambie nobodylikedme wa JF anamsalimia. It seems that she makes a good wife to you bra.
 
Basi Mzee wa oil chafu, kama umebahatisha mke mwema na mvumilivu wa shida anaejari na kuheshimu ndoa yenu hongera nyingi. Lakini na kuhakikishia wake zenu wengi ni maharage ya kyela

Sisi wanaume sometimes hatujitambui majukumu yetu. Siku ya ndoa mbele ya mchungaji au padre au shekhe unakula kiapo kuwa utamlinda, utamtunza na kumpenda kwa hali zote katika shida na katika raha. Sasa baada ya ndoa unamuachaje mkeo aingie kwenye madeni ya hovyo hovyo na wewe mwanaume upo unafuga ndevu kama beberu tuu. Unashindwaje kumshauri mkeo? Mke wangu hawezi kufanya jambo lolote bila kunishirikisha, nikiona halifai namwambia acha, kama ni hela nitakupa. Mimi mwanaume nitahangaika kuhakikisha familia yangu inakuwa stable. Ni aibu kwa mwanamke kuzuzura mtaani anakopa. Laiti wanaume tungejitambua tungenusuru ndoa zetu.
 
Na hicho ndio cha kufanya ni kheri uangaike wewe na mikopo kuliko kumuacha yeye mwenyewe, hata kama ukikosa sehemu ya kukopwa unabaki kumtia moyo asijari itapatikana kesho hata kwa maneno ya uongo. Wanawake uvumilivu wao wa shida huwa una ukomo na hawanaga option nyingine zaidi ya kujirahisisha wakishifikia ukomo.

BTW msalimie sana shemeji mwambie nobodylikedme wa JF anamsalimia. It seems that she makes a good wife to you bra.

Pigilia mstari. Nilifungua seal mwenyewe, tena siku ya ndoa, siyo nyie vijana wa leo watu wanajiokotea mabaki
 
Sisi wanaume sometimes hatujitambui majukumu yetu. Siku ya ndoa mbele ya mchungaji au padre au shekhe unakula kiapo kuwa utamlinda, utamtunza na kumpenda kwa hali zote katika shida na katika raha. Sasa baada ya ndoa unamuachaje mkeo aingie kwenye madeni ya hovyo hovyo na wewe mwanaume upo unafuga ndevu kama beberu tuu. Unashindwaje kumshauri mkeo? Mke wangu hawezi kufanya jambo lolote bila kunishirikisha, nikiona halifai namwambia acha, kama ni hela nitakupa. Mimi mwanaume nitahangaika kuhakikisha familia yangu inakuwa stable. Ni aibu kwa mwanamke kuzuzura mtaani anakopa. Laiti wanaume tungejitambua tungenusuru ndoa zetu.
Bro kwa namna unavyoongea inaonekana wazi huko kwenye ndoa yenye uaminifu wa hali juu kiasi kwamba unachukia sana usaliti na hutaki hata kuuskia. Na pia unayatambua majukumu yako ni kitu kizuri sana na ndio msingi wa ndoa na familia bora.

Mimi binafsi huwa naamini mwanaume ndio ana nafasi kubwa ya kuilinda au kuibomoa ndoa/familia kuliko mwanamke na sababu moja wapo ni kwamba mwanamke ni mwepesi sana kukata tamaa kwenye magumu na kingine ni ubinafsi wake wa asili.

Kwa hiyo strength na resilience ya mwanaume ndio inayolinda familia mwanaume akiwa lege lege hata ndoa yake obvious itakuwa lege lege sababu yeye ndio muhimili. Tatizo la mwanamke ni tatizo la familia na tatizo la mwanaume ni la mwanaume mwenyewe.

Kiufupi tu yatupasa tuwalinde kwa hali na mali, lakini sasa inapotokea hakuna uwazi baina ya wana ndoa, ndio haya mambo ya kumegewa yanatokea sababu usipomshirikisha mwenzako toka mwanzo hauwezi ukamshirikisha yakikufika shingoni lazima utakuwa mzito. Mfno ni huyu mwanamke wa kwenye kisa changu, kwa mujibu wa maelezo yake alisema mume wake alimwambia anashiriki kwenye kikundi kimoja tu na wakati alikuwa anashiriki vitatu, ilikuwa ni vigumu kwa yeye kumwambia ghalfla eti anadaiwa hela kwenye vikundi vitatu na matokeo yake ndio hivyo tena akaishiwa kugawa tunda nje ya ndoa.

UAMIMIFU NA UWAZI ITATUEPUSHA NA MENGINE KWENYE NDOA
 
Pigilia mstari. Nilifungua seal mwenyewe, tena siku ya ndoa, siyo nyie vijana wa leo watu wanajiokotea mabaki
Hahahha ndio maana unaonekana kuwa na uchungu sana na wife kumbe ganda ulifungua mwenyewe hongera nyingi.

Ngoja sisi tuendelee kujiokotea mabaki maana ndio products zilizozagaa.
 
Back
Top Bottom