Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

Nadhani Lulu diva atakua na majibu mazuri zaidi.. Maana kale kambwa kake (sijui kanaitwaje) kalivyopotea alitangaza milioni2 kwa atakayekuona
Kumbe Bongo nako siku hizi ''ma-celebrity'' wanawake wanatembea na vi-mbwa. Hako ka-mbwa kalipotea lini? Naona kuna kila dalili ya usanii hapo, usanii wa kuiga majuu. Kuna celebrity mmoja wa kike alipotelewa na mbwa akaweka dau kubwa kwa atakayempata. Kama nakumbuka vizuri ni cases kama mbili au tatu.
 
Ilikua kitu kama mwezi wa10 hivi au wa11 alipost kwenye insta story yake kua mbwa wake kapotea watu wamsaidie kutafuta atakayempata atapewa hiyo hela.After two days wakamletea na alivyoreact sasa, the way alivyokua anakakumbatia na kukabusubusu Hadi mdomoni.. nikaanza kuwa na mashaka😃
 
Back
Top Bottom