Wanawake na Mavazi msibani

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,596
8,878
Nilihudhuria msiba na hatimaye mazishi kwa kweli wanawake ktk msiba hiwa wanavaa kiheshimu mpaka inapendeza ila wakitoka hapo ni full majanga hivi kwann msivae ivo siku zote?
 
misiba ya siku hizi imevamiwa na mavazi ya nusu kujiachia sana.

nakumbuka siku moja magufuli alishamtandika dada yake msibani kwa sababu ya kuvaa mavazi mabovu mabovu tu..

misiba ya mijini ina vimbwanga vingi sana kutoka kwa akina dada..
 
Back
Top Bottom