mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?