Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

..... Inanifurahishaga sana hili, umekuja na Rambo!! Ukiondoka waondoka na Nyumba 2 na gari juuu. Chezeya!!!!!!!!
Gold Digger!!

on topic: part of your observation is due to the fact that wanaume wengi hatuombi talaka, either tuna
  1. chukua nyumba ndogo pembeni wakati mke anaendelea na egeyn zake
  2. piga kibuti mke kama maji yamezidi unga
 
akiomba unampa si ataenda kujiuza tu wanawake wengi hawana sifa za kuolewa wakiachika mwishowake huwa wanakuwa wakugawa kwa kila anaye karibia angalieni idadi kubwa ya wathirika wa HIV ni wanawake maana wanatumia mili yao ili kujihudumia kama matumizi kumbe hawajui wanatumika kama chombo cha starehe tu
 
Kaunga na neggirl kwanini mnahusisha kudai talaka na kunyanyaswa?
Inawezekana kukawa na uhusiano kwenye mambo hayo mawili,lakini hamuoni tu kuwa kudai talaka nako ni unyanyasaji?
Hamuoni kuwa inawezekana mwanamke akawa hanyanyaswi lakini akawa na sababu zake nyingine za kudai talaka?

Kunyanyaswa ni mojawapo ya sababu, lakini zipo na nyingine.. Mfano ya uzinzi, n.k.

Eiyer .. Mtu akienda kudai talaka.. Ujue yamemfika lol..As long as kama hyo ndoa hakushurutishwa aliifunga kwa kumpenda mwenzi wake kwa dhati.

Hivyo akifikia maamuzi hayo ujue hali si shwarii.. na ameona ni heri awe nje ya hayo mahusiano kuliko kuendelea kuwa nayo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Gold Digger!!

on topic: part of your observation is due to the fact that wanaume wengi hatuombi talaka, either tuna
  1. chukua nyumba ndogo pembeni wakati mke anaendelea na egeyn zake
  2. piga kibuti mke kama maji yamezidi unga

Thats ma middle name baby!!!!! Lara Gold Digger -------! UPO HAPO BABU!?
 
Hakuna sababu yoyote ya msingi kung'ang'ania kuendelea kuishi ndani ya ndoa ambayo imekufa, iko hai mbele za macho ya watu but ndani ya nyumba hakuna kitu.

Miaka ya sasa ukatili baina ya wandoa umeongezeka kwa kasi na hii yote ni kwa sababu ya vumilia vumilia zisizokuwa na tija.
Hakuna haja ya kusubiri mpaka mwenzi wako akuue au akufanyie ukatili wa ajabu ambao unaweza kuharibu kabisa maisha yaliyobakia.

Kama mapenzi yameisha kabisa, suluhu zimefanyika zimeshindikana. Umevumilia, Umeipigania ndoa yako iendelee kuwepo imeshindikana. Chapa zako lapa .. Ukale maisha. Kuvunjika kwa ndoa sio mwisho wa life.

People we only live onceeee only onceee .. Raha jipe mwenyeweee.

wajua pia sasa hata wanaume wananyanyaswa sana na wanawake Jesus hii inatokana na kuwezeshwa ka kila kitu ?
wajua wanaHume wanaamua kunyamaza tu sasa kuona aibu kutoa taarifa mahala husika...
 
akiomba unampa si ataenda kujiuza tu wanawake wengi hawana sifa za kuolewa wakiachika mwishowake huwa wanakuwa wakugawa kwa kila anaye karibia angalieni idadi kubwa ya wathirika wa HIV ni wanawake maana wanatumia mili yao ili kujihudumia kama matumizi kumbe hawajui wanatumika kama chombo cha starehe tu

HATIMAYE NIMEIPENDA II, MDA WOTE TNASHAMBULIWA WANAUME LOL ATA RAHA YA KUSOMA MICHANGO IKAISHA, WANAWAKE PIA CHANZO CHA NDOA KUVUNJIKA WALOSOMA NDO BALAA HAWAFAI KUOA KABISa
 
wajua pia sasa hata wanaume wananyanyaswa sana na wanawake Jesus hii inatokana na kuwezeshwa ka kila kitu ?
wajua wanaHume wanaamua kunyamaza tu sasa kuona aibu kutoa taarifa mahala husika...

hilo nalo neno
 
Hivi mwanaume ananyanyaswaje na mwanamke?
 
akiomba unampa si ataenda kujiuza tu wanawake wengi hawana sifa za kuolewa wakiachika mwishowake huwa wanakuwa wakugawa kwa kila anaye karibia angalieni idadi kubwa ya wathirika wa HIV ni wanawake maana wanatumia mili yao ili kujihudumia kama matumizi kumbe hawajui wanatumika kama chombo cha starehe tu
nadhani umesahau, naomba nikukumbushe huwa wanafanya na wanaume.
 
Back
Top Bottom