Kwanin unawajibia wanawake?Awe Kama Mimi ...hahahaa..![emoji3]
Katika situation ifuatayo, upo na me wako katika serious relationship then on the other side you are just flirting with other guys and even setting dates kimya kimya. Taking advantage ya jamaa kuwa muda mwingi yupo busy na anakuamini sana he believes upo exclusively na yeye tu.Unaongelea katika context ipi?
Sijaelewa kbs
ina maana usimfuatilie ,,.. kwamba hata akigawa huko bado itarudi ndani na utalala nayoKatika situation ifuatayo, upo na me wako katika serious relationship then on the other side you are just flirting with other guys and even setting dates kimya kimya. Taking advantage ya jamaa kuwa muda mwingi yupo busy na anakuamini sana he believes upo exclusively na yeye tu.
It reaches a point jamaa anapatwa na reasonable doubt either umeonesha mabadiliko flani then anaanza kufuatilia nyendo zako hasa simu yako.
Utakuja kumwambia "Jeff mbona hujiamini lakini, mbona unataka shika simu yangu kila saa? Si kila mtu ana yake!"
Hii kitu ya kumwambia mtu hujiamini inakuwaga na dhamira ipi sasa? Ni ili kusudi jeff apotezee na asiwaze kuwa anamegewa ilihali we ulimuaminisha kuwa yeye ndio wako tu. Thats what i meant?
Sio situation zote mwanaume huambiwa hivyo, kama unafuatilia kwakuwa kuna some sort of red flags its good for you, tena fuatilia tu maana thats yo life.Katika situation ifuatayo, upo na me wako katika serious relationship then on the other side you are just flirting with other guys and even setting dates kimya kimya. Taking advantage ya jamaa kuwa muda mwingi yupo busy na anakuamini sana he believes upo exclusively na yeye tu.
It reaches a point jamaa anapatwa na reasonable doubt either umeonesha mabadiliko flani then anaanza kufuatilia nyendo zako hasa simu yako.
Utakuja kumwambia "Jeff mbona hujiamini lakini, mbona unataka shika simu yangu kila saa? Si kila mtu ana yake!"
Hii kitu ya kumwambia mtu hujiamini inakuwaga na dhamira ipi sasa? Ni ili kusudi jeff apotezee na asiwaze kuwa anamegewa ilihali we ulimuaminisha kuwa yeye ndio wako tu. Thats what i meant?
Ukifikia hapo unamuacha tu mkuuKatika situation ifuatayo, upo na me wako katika serious relationship then on the other side you are just flirting with other guys and even setting dates kimya kimya. Taking advantage ya jamaa kuwa muda mwingi yupo busy na anakuamini sana he believes upo exclusively na yeye tu.
It reaches a point jamaa anapatwa na reasonable doubt either umeonesha mabadiliko flani then anaanza kufuatilia nyendo zako hasa simu yako.
Utakuja kumwambia "Jeff mbona hujiamini lakini, mbona unataka shika simu yangu kila saa? Si kila mtu ana yake!"
Hii kitu ya kumwambia mtu hujiamini inakuwaga na dhamira ipi sasa? Ni ili kusudi jeff apotezee na asiwaze kuwa anamegewa ilihali we ulimuaminisha kuwa yeye ndio wako tu. Thats what i meant?
Tena anakudharau.Ukifikia hapo unamuacha tu mkuu
Mwanamke ambae una mahusiano nae akiwa anatafuta date na jamaa wengine ujue kwako kajishkiza
Asante miss chagga this seems to be the most honest answer. At least inaeleweka! Ila ikumbukwe kuwa shida kubwa sio mtu kukufuatilia ila ni pale unapompa sababu za kukufuatilia. Kama utachit kiakili na usishtukiwe ahalam saalam, ila kama utaanza nyodo na kejeli kufuatiliwa hakukwepeki mbaya zaidi wengi wenu mnafeli hapa kutokua consistent na hisia zenu za awali! Yani ukiuza mechi tu mzee lazma ajue mbaya sana.ina maana usimfuatilie ,,.. kwamba hata akigawa huko bado itarudi ndani na utalala nayo
mwanamke anapocheat huamisha hisia na moyo na akili huko.. tofauti na mwanaume so ni ngumu kuficha kejeli na dharau hasa kukiwa kuna kitu mshikaji wa nje amekuzidiAsante miss chagga this seems to be the most honest answer. At least inaeleweka! Ila ikumbukwe kuwa shida kubwa sio mtu kukufuatilia ila ni pale unapompa sababu za kukufuatilia. Kama utachit kiakili na usishtukiwe ahalam saalam, ila kama utaanza nyodo na kejeli kufuatiliwa hakukwepeki mbaya zaidi wengi wenu mnafeli hapa kuwa consistent na hisia zenu!
Ofcourse mwanamke akiwa straight huwezi kuwa na doubt nae hata kama anacheat maana anaonesha mapenzi yake yote kwako ila when one stupid bastard comes between you guys lazima kuwe na walakini tu na hii ni mbaya kwa wale ambao wengi hawawezi ficha hisia baada ya kuchit.Sio situation zote mwanaume huambiwa hivyo, kama unafuatilia kwakuwa kuna some sort of red flags its good for you, tena fuatilia tu maana thats yo life.
Lkn kwakuwa tu kijiweni umeambiwa wanawake hawaaminiki na haujawahi ona tatizo lolote kati yako na mwenzio huko ndiko kutokujiamini.
Au ile kila aina ya mwanamke unadiss, ooh madaktari wanaliwa sana, oooh walimu cheap,oooh mama wa nyumbani chakula ya house boy,mara haujakaa sawa mwanamke msomi ana dharau!! sasa wataka oa malaika? Basi muumbe.
Naamini hamna mtu ambaye yupo kwny mawasiliano anayependa kuona mwenzie anawasiliana na jinsia tofauti hata kama ni co-worker muongee huko kazini mtu akisharudi home haina haja ya kufanya mawasiliano ya nje ya kaziTena anakudharau.
Au kaona kwako hakuna future.
Ha haa wanaume mnajua mnachotaka kwani?Hivi wanawake wanajua hasa wanataka nini?
Anaweza kutaka uwe na vitu viwili vinavyokinzana kwa wakati mmoja.
Atakwambia anataka uwe mkali kesho atakwambia anataka uwe mpole. Au uwe mrefu na wakati huohuo uwe mfupi.
Leo atakwambia anataka uwe extrovet kesho anataka uwe introvet.
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili.
Asante mkuu i like how you connect things to the reality, ni asilimia nyingi ya wanawake ambao wakichit tu hawawezi zuia ile hali. Utajua tu namegewa hapa. Imagine unamuaminije mtu wa hivyo ambae dkk mbili mbele?mwanamke anapocheat huamisha hisia na moyo na akili huko.. tofauti na mwanaume so ni ngumu kuficha kejeli na dharau hasa kukiwa kuna kitu mshikaji wa nje amekuzidi