Wanawake munajiabisha sana

Wanawake munajiabisha sana

Humu watu wanastress sana na wanawake maana kila siku ni kuwasema tu hata hamuwasifii hata kidogo, a true classy man does not wait for his lady to ask for money he provides for her before she even thinks of asking for it call it clairvoyance😎
 
Humu watu wanastress sana na wanawake maana kila siku ni kuwasema tu hata hamuwasifii hata kidogo, a true classy man does not wait for his lady to ask for money he provides for her before she even thinks of asking for it call it clairvoyance😎

Wanawake ni Jeshi kubwa sana.
 
Askari muoga threads zako fupi mixer zinachekesha
Ina maana from nowhere mtu kaja kukuomba pesa?
tumejuana hata wiki aijafika nikamsifia Dada umependeza duh akaniambia naomba pesa Nina njaa nikamchana live
 
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
Kama Gari vile, weka mafuta ndio upige misele
 
kwani mkuu umelazimishwa????
wanawake wapo kibao,katafute wasioomba hela.....
povu linakutoka mana pesa huna na dem unamtaka.....
hua nawashangaa sana nyie ME,life is beautiful bana...yet too short kua stressed na vitu vya kipuuzi...umeona naomba hela sana,temana na mimi nenda kwa ambae hakuombi...
its not like "am the only woman in the world"....
 
Kwa mtindo huo papuchi utakula kwa taabu sana, wape hela uwale papuchi zao
 
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
Wee jamaa hutaki kuchunwa upo vizuri ndio maana mimi sitaki mademu
 
Akiwa mfanyakazi sheeeda,ohh sioi mwajiriwa mana sijui salary yake inaenda wapi
Akikuomba mkalii kama pilipili, mbna hamna jema...
 
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
Hahaha azae tu kwa uchungu aisee kama hataki kutafuta mkwanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom