Mnayajua kwan kwenye porn wanaume wanafanyiwa nini?Kama yapi?
Inabidi ubavu wako huwe happy mda wote,ili na ww ukomae vzr kimaisha.Vijana wa siku hizi mnakosa maarifa. Siku nyingine utaambiwa ule Kinyesi chako na Konyagi ili Uwe fiti kitandani....kwa hapa mlipofikia najua utabugia tu. Unaacha kufikiria kuwa fiti kwenye maisha unafikiria kuwa fiti kwenye papuchi!!!!!
Nataka nimuone nimjue.......
Umetumia formula gani hapo chief!?Inabidi ubavu wako huwe happy mda wote,ili na ww ukomae vzr kimaisha.
Kuna vitu havihitajiki hata kufikiriwa mara mbili,maana jibu lanakuwaga wazi. Jamaa sio mnywaji,hakukuwa na haja ya kunywa kwa ajili ya papuchi.Ni kweli. Lakini mlitakiwa mjifunze kutokana na hilo..mwanamke asiwe tena chanzo cha wewe kuingia dhambini. Anakwambia tu kula mavi utakuwa handsome bila kufikiria unakurupuka unakula. Fikiria mara mbili mbili kila unachoambiwa.
Tunakosea ndio sasa tufanyaje?Aisee,kama ni hivyo hamuoni kuwa mnakosea?
angalia usije mtaja kama mwenzio..
Hakuna kitu hapo...utaishia kunyweshwa Konyagi na Asprini Kama hivyo. Mwanamke rafiki yake mkubwa ni pesa na maisha bora....sasa nyinyi Vijana endeleeni kujidanganya kwa kulishwa Vinyesi na Konyagi wakati kuna jamaa anayemuwezesha huyo Demu wako yeye anatafuna na Demu ndio anajituma kwenye gemu bila hata kunywa Sprite.Relationship yako ikiwa stable,hutokuwa na msongo wa mawazo au wasiwasi. Akili yote itahamia katika mambo mengi mfano production (kazi).