Wanawake mtatuua

Alivyozima hakukata gogo kweli?

Si alitaka watengeneze chemistry ndio hiyo sasa.Siku ingine atakutia dole la mkuu ndugu.
 
Umeniacha hoi.. wanaume kazi ipoo
 
Ooouuchhhh that's hurt..[emoji12] [emoji12]
 
Nawewe ulikosea kutumia kilevi ambacho hujawahi kukitumia kwa ushawishi wa kipumbavu kabisa.nyie ndo watoto wa kiume mnaotudhalilisha wanaume.
Kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu.
 
Tunaambiwa kila siku ukinywa dawa usitumie kilevi. Leo unaambiwa unywe asprin na konyagi ili uwe fit kitandani unakubali.
Hivi nyie wanaume mtadanganywa mpaka lini? Hamjajifunza kutokana na kosa alilofanya adam kule eden?
Hata kosa alilofanya Adam chanzo ilikuwa nyie.
 
Watatuua hawa viumbe,nadhani hawajui kama tupo wachache.
Shida yao ni kuridhishwa tu. Tupo wachache kweli.

Hebu jiulize bapa na aspirin hapo si unatafuta kifo aisee
 
Aspirin na konyagi, kesho ini linakufa tunaanza kushangaana.
Short term & quick effect waliiona siku ile ile. Kupitiliza na usingizi mpaka asubuhi wakati una papuchi lodge sio masihara.
 
Hata kosa alilofanya Adam chanzo ilikuwa nyie.
Ni kweli. Lakini mlitakiwa mjifunze kutokana na hilo..mwanamke asiwe tena chanzo cha wewe kuingia dhambini. Anakwambia tu kula mavi utakuwa handsome bila kufikiria unakurupuka unakula. Fikiria mara mbili mbili kila unachoambiwa.
 
mtakufa vibaya jamani kisa kipapa, mwanaume shikilia msimamo kwani usingekunywa angekukaba??
 
Aisee hatarii,wanaume mnapenda kusifiwa sana ikija kwenye haya mambo...mimi ningekuwa me nikishamaliza sitaki sifa, maana nyingine huwa za uongo tu

Na huo ndio ukweli. Tutasifiana mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…