Jamani ya dunia mengi, mnapoulizwa mko wapi mtu anataka kujua usalama wako kila siku mnaona watu wanauliwa mara ajali, ni vizuri mwenzio ajue uko upande gani wa mji.
Hata wanawake nasikia huwa hawapendi maswali ya kipuuzi kutoka kwa baadhi ya wanaume. Kitu kama
1. Baby umekula leo!?
2. Hivi umevaa kyupi rangi gani leo?
3. Utanipa leo?
4. Simu yako biiiize. Unaongea na nani zaidi yangu!?? ( (ebooo...kwani hana ndugu!?)

Ni lazima nijue kama hajala nimtumie pesa,pia ni muhimu nikajua rangi ya chup yake ,halafu kama simu yake iko bize kila saa lazima nihoji,hayo masuala ya ndugu zake natakiwa nisolve mimi sio yeye