Wanawake msituulize maswali haya

Muda mwingine cm yako haikuwa hewani! Kwanini.... "sasa unaponiuliza mambo ya mtandao mi ntajuaje.." wanaume kwa hasira wanamaliziaga kwa kusema 'wanawake ni kama watoto ndo maana hata wizara yao ni moja' kutwa nzima kuuliza maswali ya ajabuajabuuuu..
 
Wizara yao moja hehehe atoto
 
Last edited by a moderator:
Akikuuliza, "Hivi wasichana wengine wanakusumbua?" anakuwa anamaanisha nini? Ni wivu au? Am very loyal to the people I Loves ... Swali kama hilo linanikera.
 
ulikua unaongea na nani..........SILIPENDI HILI SWALI VIBAYAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…