Wanawake msitupime imani kiivyo....

mashosti sio waaminifu.pengine hapo ndio hakuna kuachana.penzi la shosti na mume wa mtu litaendelea.hilo ni fundisho.wa kumlaumu ni nani?.pengine tangu mwanzo,huyo shosti alikuwa akimtamani mume wa mwenzie
 
mmmhh ngoja na mie nijaribu hiyo siku moja
labda itafanya kazi..
halafu nta mtuma rafiki yangu..
aliejazia ma hips, mguu chupa ya bia..
sura inateleza ka mlendaa
ameumbika kuliko Ry C...

Hee heee Subutu!
 
Hee heee Subutu!

mmmhhhhhh
kwa kweli itabidi nifanye hivyo..
sababu na mwamini huyu
shoga yangu alie mzuri kuliko mimi
aende kunichunguzia mume wangu...

mmmhhh saa nyingine bwana sijui watu
tunafikiria nini tu labda..

The Following User Says Thank You to Mamushka For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
naomba na mimi waifu anitest. nina uhakika kabisa wa kupasi. dah kweli waaminifu tupo wachache sana.
 
Nimeshindwa cha kufanya imenibidi nicheke weee post hii leo imenifurahisha sana. Duh kweli hii ni if you do me i'l do you. Mh alieuza cheni bandia kapewa pesa bandia nimekosa tafsiri ya huu mchezo ulo chezwa hapa dah kiboko.
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!

Huyu mama ni mwehu!
Inaonekana huyo shosti alikuwa anaitafuta hiyo nafasi kwa udi na uvumba, alipoipata hakufanya ajizi!
I could hv done the same halafu ningemsimulia jinsi mumewe alivyo mtamu!
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!

Hapo kweli tumezidi mabinti. halafu mke apate presha ya nini wakati kataka mwenyewe
 
Wengi sana wana tabia hiyo..unapigiwa simu kumbe mtu yuko na wife....
Huyo jamaa amenifurahisha...Bora lawama kuliko fedheha !

Bora umesema.Haya mambo ya kujaribu kwa huo umeme na huyo mama n tester?
 
Hahaaaaa nimechekaje lol. Huyo kweli ni mwanaume wa shoka
 
Hahaaaaa nimechekaje lol. Huyo kweli ni mwanaume wa shoka

Ukiona rafiki wa mumeo anacheza karibu na mme wako watch out! Experience yangu ni mbaya sana na hayo mambo. Huwa haichukui ten minutes habari kubadilika. Baada ya hapo kila anayeulizwa anakataa hakuna lolote lililotokea wakati kuna mengi yametokea.
 
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui wapo wapi. Shost wake kanogewa anataka tena!

wot hao wanawake hawajatulia.......hawajui kuna vingine havi-testiwi!!!:loco:
 
As long as you live keep learning how to live.........lesson learnt,thanks for this post!
 
kama ni test na jamaa amepasi ndo mana yake hata mm ningekula mzgo
 
Back
Top Bottom