Ndio maana sikukosea wewe kuwa somo wangu atiiii[emoji5] [emoji5]Kufokeana mbele ya marafiki sio mi kwa upande wangu ukinikera ntakupiga jicho hilo ambalo litajumlisha vyote.
Tukishafika ndani ndio tutaanza kuzungumza na kuwekana sawa.
Na ameyasikia best sharti ayafanyie kazi ahahahaaaaaaHahaaaa. Maneno kuntu.
mi yamenikuta imefikia had hatua kutoa talaka kwa sms!yaani nikirud hom naanza kukaguliwa kuanzia kichwan had nyayoni km huna vumbi hata kidogo makelele yanaanza"ulikuwa kwa malaya wako umeoga huko!!"ukivua nguo zinaanza kunuswa had boxa zangu ananusa!yaani kitu kidogo unafungiwa mlango wa chumban ulale sitin rum.ukipigiw sim usipopokea tayari kelele hupokei sim uko kwa malaya wako!kero mwanzo mwisho ukisema umechoka tu kazin utaambiwa hawara yako kakuchosha leo!kwel nikachoka nikaona ni too much kibaya zaid anavyohisi wala haipo hivyo!nikatishia talaka nikaita na wazaz!hapo kidogo akanywea tukasuluhishwa akaomba atajirekebisha tumerud nyumban tu mara akataka aanze tena wivu usio na maana!maana ni mtu asieweza kujizuia ht ukichelew bafun anakuuliza unafanya nn mda wote huko
my game,my rules
Kumbe we mbaya swahiba. Usirudie tena aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaaa usijali sikufokei tenaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28]
ni kweli bro!Pole kaka! Ila nimecheka Kwa sauti sana aisee?! Duh! Ila Kwa wastani ndivyo tulivyo wengi ndo maana ikaandikwa " Mume na aishi na Mkewe Kwa AKILI" Mke na amtii Mume wake Kwa kila jambo! Mungu anajua alivyo Muumba Mwanamke aliweka malighafi gani ndo maana akaagiza kuwatii! Wewe umeagizwa kumpenda mkeo! Halafu huenda umeoa Mke wa umri mdogo sana Au siyo? Hao huwa na hulka hizo Za wivu usio na mahesabu Yani wakijinga, Ila baada ya miaka kadhaa anaweza kubadilika Ila nawewe timiza majukumu yako ya kawaida Kama Mume na baba wa watoto na kiongozi wa familia ! Halafu nendeni Kama kanisani/msikitini kuweni Watu wa ibada saingine ukute ni mchezo umefanyika wa mfaraka mmefanyiwa! Kuishi na Mke siyo jambo la mchezo mchezo! Ukimuona mwanaume ameishi na Mke Kwa muda mrefu Kwa amani Ujue si mchezo! Ukioa kununiwa ni jambo la kawaida!
Hahaaa. Mumy cheo chote ikooo.Ndio maana sikukosea wewe kuwa somo wangu atiiii[emoji5] [emoji5]
Na yamemuingia sio bure.Na ameyasikia best sharti ayafanyie kazi ahahahaaaaaa
mi yamenikuta imefikia had hatua kutoa talaka kwa sms!yaani nikirud hom naanza kukaguliwa kuanzia kichwan had nyayoni km huna vumbi hata kidogo makelele yanaanza"ulikuwa kwa malaya wako umeoga huko!!"ukivua nguo zinaanza kunuswa had boxa zangu ananusa!yaani kitu kidogo unafungiwa mlango wa chumban ulale sitin rum.ukipigiw sim usipopokea tayari kelele hupokei sim uko kwa malaya wako!kero mwanzo mwisho ukisema umechoka tu kazin utaambiwa hawara yako kakuchosha leo!kwel nikachoka nikaona ni too much kibaya zaid anavyohisi wala haipo hivyo!nikatishia talaka nikaita na wazaz!hapo kidogo akanywea tukasuluhishwa akaomba atajirekebisha tumerud nyumban tu mara akataka aanze tena wivu usio na maana!maana ni mtu asieweza kujizuia ht ukichelew bafun anakuuliza unafanya nn mda wote huko
my game,my rules
bora ufokewe kwa nini ukubali kulelewa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kwani mchumba wako yupojeKila mwanaume aliyeoa analaumu sana huku mitandaon....huku n kutuogopesha ambao bado hatujaoa jmn....inamaana wanawake wamekuwa wakorofi siku hz au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh Mimi Nina wivu kupindukia ila huo wakukaguana miguu kinusana boxa kiukweli amenizidimi yamenikuta imefikia had hatua kutoa talaka kwa sms!yaani nikirud hom naanza kukaguliwa kuanzia kichwan had nyayoni km huna vumbi hata kidogo makelele yanaanza"ulikuwa kwa malaya wako umeoga huko!!"ukivua nguo zinaanza kunuswa had boxa zangu ananusa!yaani kitu kidogo unafungiwa mlango wa chumban ulale sitin rum.ukipigiw sim usipopokea tayari kelele hupokei sim uko kwa malaya wako!kero mwanzo mwisho ukisema umechoka tu kazin utaambiwa hawara yako kakuchosha leo!kwel nikachoka nikaona ni too much kibaya zaid anavyohisi wala haipo hivyo!nikatishia talaka nikaita na wazaz!hapo kidogo akanywea tukasuluhishwa akaomba atajirekebisha tumerud nyumban tu mara akataka aanze tena wivu usio na maana!maana ni mtu asieweza kujizuia ht ukichelew bafun anakuuliza unafanya nn mda wote huko
my game,my rules
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwani aliwahi kukuta meseji Za mapenzi ya Wewe na Mwanamke mwingine Kwenye simu yako? Je ameshawahi kusikia kupitia Mtu mwingine kuwa unam chepuko ? Je aliwahi kukukuta Kwenye mazingira ya mashaka ya mahusiano na Mwanamke mwingine? Kama ulishawahi tokea basi kazi unayo, maana hapo hadi aje kuirudisha Imani ya awali alokuwa nayo Kabla itakuwa kazi Kweli na kuchukua muda! Mwanamke mwingine akijua una cheat Hata msisimko kwako unapotea kabisa halafu upendo unapoa kabisa