Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.

Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Mkuu....
Sitaki kuamini kama ni wewe kweli ndie huyu alieandika maneno haya.
Lakini kama ni kweli, basi pole sana aiseee
Sina la kukushauri, ingawa Mdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…