kumbe ukilaza ni unapimwa kwa kutafuta hela?ama darasani kwa kipimo chepesi na kilichozoeleka
aaaaaaaaaaaaaah wapi, tunapenda sana muendeleeeeeeeeeeeeeeee, ila tabu yenu mukishaendele munakengeuka muno wakati mshapendana toka mwanzo
Wale wadada wasioisha kudharau wanaume wasio na elimu ama wao hawawataki ama wanashangaa na kuwacheka rafiki zao wenye wapenzi wasioenda kidato wanapaswa kupata somo kutokakwa mwandishi nguli wa vitabu Eric James Shigongo.
ERIC JAMES SHIGONGO ANA MKE MWENYE ELIMU YA MSTERS LAKINI YEYE ALIKOMEA DARASA LA SABA TU. ALIKUWA AKIONGEA VOICE OF AMERICA KWENYE STRAIGHT TALK TO AFRICA ON AFRICAN WRITERS.
KAMA HAITOSHI HATA DARASANI ALIKUWA NDIO KILAZA WA DARASA KWAKUSHIKA MKIA NA HATA KUPATA SIFURI KIASI MPAKA AKAWA AMEPEWA JINA LA MADASO( hili ni neno la kisukuma likimaanisha nguo iliyoisha na kuchakaa ambayo haifai tena kuvaliwa, kwa kiswahili rahisi ni sawa na tambala, na jina hilo kwa haraka haraka katika kisukuma linamtambulisha shigongo kama mtu asiye na faida yoyote).
Mabinti wapendeni wapenzi wenu bila kujali hali yao kama mlishakubaliana toka mwanzo, just fight for life.
Hizi habari za kukengeuka kila kila mnapofika chuo na kujiona mmesoma sana na kuwatupilia mbali wapenzi wenu kisa wao hawakupenya kufika chuo ama hawakusoma si suluhisho la mapenzi wala maisha.
Stori nyingine ni inspiration kwa vijana na hapa si mahala pake.
Mwisho wako wa kufikiri umeishia hapo bila shaka.
ninaowashauri wenyewe ndio kama hawa, kazi ipo. kwa hiyo kila ukipanda ngazi kielimu unampiga chini mpenzi wako?Jipe moyo usisome ukitegemea utapendwa na maisha ya sasa yalivyo.....Ukiona wanaorudi darasa ukubwani usifikiri wajinga na wanaenjoy....yamewakutaaaa
ukisema wa level yake unamaanisha nini? ushajua hii mada inanihusu mimi? ukiwa na fikira fupi ndio madhara yake haya.Duh! We jamaa mbona una wivu sanaa mwache mpenzi wako ampende mtu wa level yake na usijipe moyo kwa story ya shigongo.mwanaume pambana na sio kulala mika.usilete mauzo muda wa kazi financial success is the only freedom in life.Afu watanzania wengi nawashangaa sana jinsi mnavyo fananisha Elimu na kisomo eti vyote sawa.mamaee mwanaume fanya kazi kwanza.Hawa wanawake wapo tuu.unataka upendwe hela huna na isitoshe hata kitabu ulikimbia unataka umpate nan sasa.sugua kichwa bwana