Wanawake wenzangu SMENI SANAAAAAA! USIKU NA MCHANAAAAAA! SOMA MPAKA UBONGO USEME STOOOOOP! Hususani watoto wa wakulima, na nyie waendekeza FREE PUMBU maana mtasuguliwa pumbu hatariiii, na msipewe kitu cha maana chochote. Hahahahaaaaaa! Ila kama una ki Masters chako aaaaah hata buzi likikwambia njoo nikuweke hapa CREDENTIALS UNAZO UONGOOOO? Umeula hujaulaaa? Inahuuuuu? Au bosi akikupiga Pumbu kuna promotion unamshika hizo hizo pumbu na jicheti lako waitaka promotion atachomokea wapi?
Lakini usiposoma UTAISHIA KUJIKOMBA KOMBA KWA HAWA WANAUME WENYE VIDEGREE KAMA MLIVOVIITA WENZETU WAKATI SIE WANAWAKE WASOMI WENZAO TUNAWAONA FREE P TU NAO VILE VILE, ATANIAMBIA NINI WAKATI GPA NAMZIDI, BODI WANANITAMBUA TUKISIMAMISHWA KWENYE INTERVIEW WATUWASEME SU NAMPOTEZAAA MBAYA, YEYE VIMTIANI VYA BODI VINAMJAMBISHA JAMBISHA! Hahahahaaaaaaaa! It is really pathetic usiposoma UNASHOBOKA MAMBO MADOGO SANAAAAAA, mno mno mnooo mpaka unajiabisha !
amu juziile point ya kamradi kako ka research, NIMRI na Elizabeth Glacier ILINISIKITISHA SANAAAAA! Hahahaaaaaaa!
Hata kama huna kazi unaishi kwa matumaini IKO SIKU UTAPATA, na hata unavofanya biashara zako tofauti kabisaaa na APECHE ALOLO, hata utoaji wako wa hoja mbele za watu tofauti kabisaaaaa! Na hata uendeshaji wa familia tofauti kabisaaaaa! PIA ELIMU INAKUPA CHANSI LA KUJISHAUAAAAA MWENZANGU NA KUWACHAPA WATU BAKORAAA! Unakuta kidume kinajishebudua nina Masters ya Arts huko (MASTERS NI MASTERS LAKINI OOOOOH) Unamtiza kama mpira wa kona, ACTUALLY NA MIMI NINA MBA,Plus nimeapply Phd, prbably next year naanza! THE EXPRESSION IN HIS FACE WILL BE PRICELSS, manake si alikuona mchovu tuuu! sasa kama Ras Simba hapo ndugu lazima ukiss his big black a.ss
ISITOSHE UKISOMA U GET TO MINGLE WITH HIGH CLASS AND INFLUENCIAL PEOPLE! Hawa watoto wakishua rahisi zaidi kukutana nao shule na kujenga bond, kuliko mtaani. plus wanakuheshimu sanaaa. Hata shule ikiisha you get to keep the connections.
MSICHANA KAMA HUTAKI KUWA MTU WA HOVYO HOVYO USIKIMBIE UMANDE NENDA SHULEEEEEE, HATA AKILI HUNA OKOTEZA OKOTEZA UTAFIKAAAA TU!