mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,837
- 2,416
Sikatai wapo ambao hawajasoma ila wana uelewa mzuri wa mambo lakini mtu aliyesoma hawezi kuwa kichwa empty hata siku moja.....yapo mambo anayoyajua ambayo asingeyajua kama asingekwenda shule
Hata hivyo shule tunajifunza mengi zaidi ya yale ya darasani.Kile kitendo tu cha kukutana na watu toka sehemu mbalimbali mkaishi pamoja kwa muda flani tayari ni somo.