Wanawake msaidieni mwenzenu

Wanawake msaidieni mwenzenu

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mkuu wewe tunajribu jaribu ila unaweza chukua jiko
Wee jiko ukapate badoo🤣🤣🤣🤣 wa huko wote wapo kutafuta kidume wakumtoa out wakulane tuu.
Tafuta pisi kali ikarribishe ghetto mpelekee moto mbususu yake
 
Ili uwalete mpaka kitandani kwetu
Alafu hivi hii kitu ya kwamba eti umemgegegda hadi kitandani kwetu i amuwaga na mantiki gani? Sielewagi ujue.

Wee hofu yako tuu. Mbona na mie nitakupa uhuru wa kwenda kutest de libolo zingine ata ikiwezekana wee mkaribishe nyumbani
 
Weka namba yake tutoe sadaka....ila hilo la kwanza la mwanaume yeyote awe baba wa mtoto asahau tena asahau kabisa wanawake siku hizi wamekuwa ni watu wa hovyoo na hawaaminiki tena.
Huyu ni binti yuko Mtwara kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwa mwenye ujauzito amefariki kwa ajali.
Narudia ni kwa mujibu wa huyo binti.
Siwezi kuthibitisha uhalali wa maelezo yake ndio maana nimetumia neno..mujibu.
 
Haeleweki anaomba mtu kua baba wa mtoto au anaomba mtu wa kutoa pesa kufanikisha jambo lake.

Huyo ni tapeli akawaambie wazazi wake hizo pesa.
 
Alafu hivi hii kitu ya kwamba eti umemgegegda hadi kitandani kwetu i amuwaga na mantiki gani? Sielewagi ujue.

Wee hofu yako tuu. Mbona na mie nitakupa uhuru wa kwenda kutest de libolo zingine ata ikiwezekana wee mkaribishe nyumbani
Hahahahah ngoja kisenti changu nilichotaka kuchovya nikamwagilia moyo bhana
 
Alafu hivi hii kitu ya kwamba eti umemgegegda hadi kitandani kwetu i amuwaga na mantiki gani? Sielewagi ujue.

Wee hofu yako tuu. Mbona na mie nitakupa uhuru wa kwenda kutest de libolo zingine ata ikiwezekana wee mkaribishe nyumbani
Kweli Dunia imekwisha😳🙌
 
Huyu ni binti yuko Mtwara kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwa mwenye ujauzito amefariki kwa ajali.
Narudia ni kwa mujibu wa huyo binti.
Siwezi kuthibitisha uhalali wa maelezo yake ndio maana nimetumia neno..mujibu.
Muelekeze taasisi zinazoweza kumsaidia kwa mtwara
 
Muelekeze taasisi zinazoweza kumsaidia kwa mtwara
Huwa sifanyi ujinga huo, kama naweza kumsaidia bila kujali natapeliwa au laa yaani nampa kile ambacho niko tayari kumsaidia na sio vinginevyo.
 
Hio mimba aliipatia badoo au?,kwanin amekimbilia badoo kutafuta msaada....
 
Mpaka hapo swala la kuchanganya shida mbili haaminiki tena
 
auze Cm hiyo anayotumia kuingilia badoo! apate iyo 75K akae kwakutulia asubili miezi 9 hiyo aende leba akashushe injini biashara imeisha
 
Kwa ushauri wangu angeenda kwenye nyumba ya ibaada yoyote atsaidiwa, ila kwenye mitandao sjui na ukizingatia sio ugonjwa watu hawatachukulia serious
 
Back
Top Bottom