Wanawake mpitie hapa tafadhari

Wanawake mpitie hapa tafadhari

Piga sana simu, tuma msg nzuri daily, ongea kwa mapozi,mwambie ww ni mrembo mnoo ukimuona unaisisimkwa sijui ukimuoa kama utaenda kazini. Usisahau na vihela vya vocha kidogo kidogo yani hapo kama ana bwana ake atamuacha au kama sio kumuacha ataanza kumyeyusha mpk atahamishia mapenzi kwako mazimaaaaa. Na kama huko aliko afanyiwi hayo aiseèe yani unampata kilaini kama unanawa
huo ujinga wa kumpigia mtu simu kwa kujipendekeza au kujiongelesha kimapozi me siuwezi.
nishapotezeana na wengi kwa kufail hivyo vigezo.
 
Ushapu na ujanja wako
Wa kumwaga swaga ndo
Utaofantya mwanamke akukubalie na papuch kuipata
Hata ndan ya week 1

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
habari za weekend wakuu
Natumaini mnaendelea vema na weekend iliyopo na inayoendelea mbele

Tukiludi ktk mada wanawake huwa mnapenda style gan ya mtongozo mpaka kuingia kunako mahusiano??

Baada ya mahusiano kutengenezwa huwa mnakua willing kuingiliwa baada y muda gan toka mahusiano yazalishwe

asante
nawasilisha

Mtupe hela, mengine baada ya ndoa. [emoji1317][emoji4]
 
Sipendi kufanyiwa psiiiiii psiii, oiiii miss miss wala sista sista huwa natamani niwaponde mawe ya usoni basi tu ...
 
Ha h
Najuwa tatizo lako umekaririshwa na hauandiki unavyotamka. Hizo ndiyo shule za kufundisha ujinga.

Mimi nnaandika nnavyotamka.
ha ha ha kubali kusahihishwa bibi kama wewe unavyowasahihisha wengine na uache kupanic
 
Back
Top Bottom