Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 222
Thread starter I got question for u... do u look at women a sex tool? I mean for you a woman is created just to satisfy your sexually need?
Hehehe,
Aliniita nimsaidie kuchagua nguo atakayovaa wakati wa 'outing', leo tuna mechisha!
Kaka/dada,
this is my life style! Come at my home and see! You all are welcome! To me everyday is sunday! Hehe, for your information, tulipeleka watoto kwa bibi yao tangu ijumaa na leo mimi na mke wangu tunatoka kwenda 'outing' nje ya mji! tutarudi mida mirefu sana! Mama kasema tukapunge upepo huko na nikasema shwari! Je, wewe tangu umeoa/kuolewa umeshatoka na mkeo/mumeo? Hata kwenda nae ktk 'sherehe' za kiofisi au kijamii? Hehehe, kazi kwenu!
Ngoja nimsikilize mamsapu ananiita kidogo!
...... Mwenyewe saa hizi amevaa shati la kitenge limefanan na rinda la my wifey wake........ukiwaona kama maua vile......au wale jamaa wanaocheza ngoma za kisukuma. teh teheee
sister noname, umeanza tena mambo yako ya beijing hapa............... dunia ilivyo mbovu hivi si afadhari anayemuona m'ke kama sex tool, anngalau huyu bado yuko kwenye mstari wa muumba, kuliko mashoga, wasagaji, waparamia wanyama, wapiga punyeto etc..............
nilivyomwelewa mtoa thread ni kwamba maisha yamepoteza ladha ndoa hazidumu mfumo wa jamii umeparaganyika, sehemu kubwa ya wanajamii waliofikia hatua ya ndoa hawana rah na ndoa zao.................. si wakati wa kushindana jinsia gani ni ovu zaidi, bali wakati wa kuangalia altelanatives of reconstructuion...................
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.
Thread starter I got question for u... do u look at women a sex tool? I mean for you a woman is created just to satisfy your sexually need?
Swali,
Kingi, wewe umeoa au kuolewa?
iam He my friend and iam still looking for one
Du! n hii kweli ni kali sasa jamani yaani ndugu unatuzalilisha namna hii? Hivi umeona wewe kweli? ama ndo bado unaonja ladha kwanza? Maana Hii ya kwako leo imeniacha hoi, yaani kumbe mnatamani kila kukicha eeh? Poleni lakini mimi na mwenzangu tunalilinda penzi letu usipitie muonjaji kama wewe LooH! Mungu akusamehe!
kamwe sintoweza, mimi nimeumbwa kwa udongo! mwenzangu akinikosea nasamehe, nina maneno matamu yatokayo rohoni! nasamehe na kusahau! nina moyo wa huruma!............ hata pape angegonga mwamba......................
ni mimi mkuu!Pape ni wewe au kuna mtu kaingia na id yako leo🙂? Hongera sana!
hehehehehehe, mbona nimetoka simple sana mkuu! Ila mijaa wanamkatia mamsapu mijicho! mmh mama naye ndio katulia hapa ubavuni! hatoki ng'o! acha wale kwa macho tu!Pape bana, eti yupo kimaadili zaidi leo. Mwenyewe saa hizi amevaa shati la kitenge limefanan na rinda la my wifey wake........ukiwaona kama maua vile......au wale jamaa wanaocheza ngoma za kisukuma. teh teheee
kaka usiangalie m/mke wa kukutimizia hitaji la mwili wako! tafuta m/mke wa kuishi naye na kutimiziana mahitaji yenu! Mtakuwa mwili mmoja!personally cha kwanza nachoangalia ni hicho na mengine yanafuata
personally cha kwanza nachoangalia ni hicho na mengine yanafuata
hata bikira za mchina zipo! mwambie aende! akaibiwe hela zake! just give order on net and wait at home! hehehehe! vacation yangu inaendelea!good luck brother...🙄 why dont u go to a sex shop then? there are ready made ones now days... or u can order 'em on the net
Akili mie nashangaa which world are you living?.... hakuna cha ubeijing hapa.. u have to wake up... WAKE UP brother.... dunia bado ni nzuri kabisa... ila kuna watu wanaoharibu maisha...na wala maisha hayaja poteza ladha ila watu ndo hawana taste ...
Let me quote his words again here
Now tell me does this make any sense to u? kwamba wanaume wengi walio oa wangependa kurudia tena kuoa ili wajipatie kifaa kipya chenye mvuto... now if all what they are looking is Pussies then these guys knows nothing about marriage and they should not get married from the first place...
Akili mie nashangaa which world are you living?.... hakuna cha ubeijing hapa.. u have to wake up... WAKE UP brother.... dunia bado ni nzuri kabisa... ila kuna watu wanaoharibu maisha...na wala maisha hayaja poteza ladha ila watu ndo hawana taste ...
Let me quote his words again here
Now tell me does this make any sense to u? kwamba wanaume wengi walio oa wangependa kurudia tena kuoa ili wajipatie kifaa kipya chenye mvuto... now if all what they are looking is Pussies then these guys knows nothing about marriage and they should not get married from the first place...
good luck brother...🙄 why dont u go to a sex shop then? there are ready made ones now days... or u can order 'em on the net
good luck brother...🙄 why dont u go to a sex shop then? there are ready made ones now days... or u can order 'em on the net
hata bikira za mchina zipo! mwambie aende! akaibiwe hela zake! just give order on net and wait at home! hehehehe! vacation yangu inaendelea!
unajua dunia ya wanaume ni tofauti sana na ile ya wanawake. mapenzi kwa mwanaume huanza na kutamani na huchochewa zaidi na tamaa. ni baada ya kutamani ndio huingia naother stage ya kupenda, hivyo utaona motivation kubwa ni kutamani............. usiangalie vocabulary iliyotumika bali angalia maudhui........ anaposema "kifaa kipya" unachukulia neno kifaa kama linam-degrade mwanke! lakini tuna maneno mengine mengi, mfano "mtoto yule chuma kweli" sentensi hii haina maana kwamba anayezungumziwa ni "mtoto" ama ni "chuma" nyuma yake kuna maudhui ya mvuto kimahaba..............
kubali usikubali, we sart by thinking about pussies and finish by embracing companion and other aspects of relatonships............... kinyume chake unataka kufananisha watu na mashine zenye maarifa artificial na zisizo na hisia........ ndoa zikifikia hapo (zisihusishe hisia halisi za urijali za wanaume) zitakuwa zimeharibika zaidi .......... na matatizo ya kutazama nje for more satisfacton hayataisha...........