Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,887
- 2,769
Binafsi nimeoa ni miaka 20 sasa! Na sina mpango wa kuoa tena! Mimi na mke wangu tunafurahia mapenzi kila siku. Kila siku ni sikukuu!
Tatizo linalo wakabili wanandoa wengi ni 'uhaba wa mawasiliano katika ndoa'. Ni vyema wanandoa kushauriana! Suala la mapenzi sio la mtu mmoja (mke au mume tu). Kaeni chini mzungumze! Muulize mwenza wako anataka nini! Kuweni wavumbuzi!
Sababu nyingine inayowasumbua wanandoa wengi ni kutembea nje ya ndoa. Unakutana na 'type' mbalimbali. Hautokaa uridhike na mume au mkeo kamwe! Wengi wenu mmezoea kulambalamba nje! Acheni hako kamchezo na ridhika na mwandani wako!
Personally, I'm satisfied and I dont have feelings for anyone except my 'sweet wife', she knows what I want and I know what she want!
Hehehe, yes she is very beautiful! I love her from the inside out!come to think of that, i presume she might be beautiful. Wanaenda nje kwa kuwa vya nje vinazidi vya ndani
Binafsi nimeoa ni miaka 20 sasa! Na sina mpango wa kuoa tena! Mimi na mke wangu tunafurahia mapenzi kila siku. Kila siku ni sikukuu!
Tatizo linalo wakabili wanandoa wengi ni 'uhaba wa mawasiliano katika ndoa'. Ni vyema wanandoa kushauriana! Suala la mapenzi sio la mtu mmoja (mke au mume tu). Kaeni chini mzungumze! Muulize mwenza wako anataka nini! Kuweni wavumbuzi!
Sababu nyingine inayowasumbua wanandoa wengi ni kutembea nje ya ndoa. Unakutana na 'type' mbalimbali. Hautokaa uridhike na mume au mkeo kamwe! Wengi wenu mmezoea kulambalamba nje! Acheni hako kamchezo na ridhika na mwandani wako!
Personally, I'm satisfied and I dont have feelings for anyone except my 'sweet wife', she knows what I want and I know what she want!
Amen!pape :amani ya bwana na iwe juu yenu sina la kuongeza maana mwakaribia kuwa MITUME MBARIKIWE SANA MUNGU AWE NANYI
Amen!
Ukweli ndiyo huo! Ukitaka kuwa na ndoa njema jambo la msingi ni uwe na lugha nzuri (mawasiliano), mwenye kusamehe, mwenye subira, uwe na roho ya huruma na mwenye kutoa msaada! Go and try, then you will believe me! It takes two to tango!
Yeah, wanaume inawapasa wabadilike kwakweli! Kuna familia zinaangamia hasa kwakukosa uelewano! Mume anachukua uamuzi wa kusepa nje ya ndoa! Je, mke nae afanyeje? Ndio maana 'serengeti boys' wamejaa kuziba mapengo yao! Kingi, inabidi uanze kulifanyia kazi hili suala! Utajisikia vipi ukijua mkeo anatoka na 'serengeti boy'??Mpe somo Kingi, the guy needs help.
Kaka/dada,Pape mambo ya jumapili haya I hope Unaongozwa na Roho wa Bwana
Pape,
Ubarikiwe sana na kanyaga twende, usipunguze hata kidogo. Inatia moyo kuona kwamba katika dunia hii bado kuna watu wanatukuza usafi wa moyo na nafsi. Huwa siamini inapotokea tumesafiri halafu katika guest house mliyopanga kila chumba kiko busy ipokuwa vichache tu. Naamini wakaaji wa vyumba hivyo visafi wanaongozwa na roho wa Mungu. Ni vigumu kuelewa na kuamini. Tutafika tu.
Nimependa signature yako! Hayo mambo ndiyo yanayotokea katika wanandoa wengi!......." Mtenda akitendwa hudhani kaonewa"
Knowing that she is in love with me and I am in love with her is the greatest gift of all!pape :amani ya bwana na iwe juu yenu sina la kuongeza maana mwakaribia kuwa MITUME MBARIKIWE SANA MUNGU AWE NANYI
Hehehe,
Ngoja nimsikilize mamsapu ananiita kidogo!
Mpe somo Kingi, the guy needs help.
Swali,Nakubaliana na pape, ila kwa hao ambao bado wapowapo wafanye machaguo sahihi ili hicho anachosema pape kitekelezeke
Hehehe,
Aliniita nimsaidie kuchagua nguo atakayovaa wakati wa 'outing', leo tuna mechisha!
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.