Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
So kwako kuonesha maungo yako ndo kupendeza?Na unavaa kwaajili ya watu?
passion lady na Little Angel nimewapenda gafla mbarikiwe
Mbona mnakatazwa kanisani kuvaa vimini km ni nguo za heshima?mtageza sna Umagharib kwan sasa hiv hakuna tofaut ya mnyama na binadam wote wapo uchi by da way ujana na ushamba ndo unawasumbua
HoneyBee ,hivi inahitaji uwezo gani wa kujua kuwa ni ufupi gani ninaouzungumzia hapa?
'
Hebu acha masikhara,Binadamu alie na uwezo mdogo tu wa kufikiri anajua kabisa maeneo gani hayatakiwi kuonekana barabarani,na yoyote akionekana huenda atakua ana matatizo ya kufikiri.
'
Mambo haya yanaeleweka na wewe unajua kabisa ni wapi mwili wako unatakiwa usitiriwe.
'
Kwanini unavaa nguo?
Dah! Imekuwa Kesi?huo ni mtazamo wangu na hakuna wa kunibadilisha.baki na wa kwako nami nibaki na wangu:bowl::A S thumbs_up:mPampam kasema..hebu aje hapa afafanue..
Nami nawahurumia sana wanaoNawahurumia sana wanao!
Waache wanawake waishi kwa raha zao. Wewe inakuhusu nini mwanamke akiamua kuonesha maungo yake? Acheni kufuatilia maisha ya watu.
na tunajiachia kweli kaizer!
Kuishi kama binadamu according to who?Mke wangu Kaunga tumeumbwa tofauti sana.Vipaumbele vyetu pia vinatofautiana sana.'
Furaha ya watu wengine ni kuona binadamu anaishi kama binadamu na sio anaishi kama mbuzi au ng'ombe.Unatakiwa unijue mmeo napendelea nini!
Mbona umenivalia njuga? Habari za kunitumia kama kondom zinatoka wapi? Siku nyingine usidandie treni mbele!
Tena koma kusema wazazi wangu hujui kama wapo hai au wamekufa. Never quote me in any post, tafadhali sana!!
Siwezi kuvaa kimini kanisani , sawa na Wewe huwezi kuvaa kaptula kanisani. Si mahali pake. No points for you
Usiwe kiazi ww,,,grow up