Wanawake mnataka nini ili mtulie?



Mkuu umesema vyema. Ila nakubaliana na wewe tu in the context kwamba hayo yote ni majukumu ya msingi kwetu wanaume na ninaamini kabisa kwamba mwanaume ambaye ni responsible anatakiwa ayatimize hayo ipasavyo. Hakuna option nyinginge.

Hata hivyo nakukumbusha tu kuwa mapenzi siku zote sio "one size fits all" mkuu. Mapenzi ni eneo complicated sana. Mwanaume anaweza atekeleze yote hayo uliyotaja na akaongeza na mengineyo lakini bado mpenzi/mke wake anaweza amsaliti vile vile.
 
Najaribu kufikiria ile sababu yetu pendwa bana - eti shetani alinipitia, teh!!
Teh mlikuwa na appointment ya kwenda wapi hadi akupitie? Au mwingine unamsikia "ooh niliteleza", sijui alikanyaga ganda la ndizi[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Aisee you are one in a million, hakika mungu akujalie ndoa tu kabla hata hujaililia...We ndio mwanamke ambae kila kidume anamuota na inaonesha pia upo real sana. Kama hakuridhishi mpe namna ya kumsaidia ili muwe safi badala ya kuchukua uamuzi wa kumsaliti kama wale wapuuzi wanaojisifia umalaya humu kisa wanaume wao wamepoteza umakini, hakika ukimuheshimu mume na kumtreat kama mtoto wako atakupenda mpk kufa.
Si unajua mtoto hasuswi na mama ila anarekebishwa kwa busara tu!
 
Fedha sio upendo.

Hayo mambo ya ndoa magumu.
Labda huyo mume mtarimbo wake haufanyi kazi
Mdada wa watu afanye nini tu? Au labda hampendi tena.

Anyway nisiingilie. Wanajua makosa Yao wenyewe.
You are so clever kusema "wanajua makosa yao wenyewe"
 
"Kumsomesha mwanamke ni laana kubwa sana"

Nadhani tumeelewana wanaume wenzangu...
 
Wanawake wasaliti ni wahuni tu, hamna sababu ya kusaliti kama mtu unampenda...Mi kuna utaratibu nataka kuujenga kuishi kama rafiki na manzi nadhani wanahitaji kujengewa kujiamini, semeni tu? Bhana baba Mariamu nahisi kama bado, dawa haijaniingia vizuri leo hebu kesho jitahidi zaidi basi ***** wangu nitafarijika sana. Hapo in a friendly way kidume ataelewa huna haja ya kumvizia mlinda geti akubokoe wakati shida inaelezeka. Kidume akielewa fasta anatafuta suluhisho sasa nyie hamsemi mnataka mtu aote unachofikiria au?

Tatizo wanawake wa siku hizi hawajui vitu vingi kizazi cha .com. Bibi zenu walijua hali ikiwa mbaya waka mix mti shamba gani jikoni specifically kwa mzee ili wapate
matokeo mazuri bila hata kusalitiana na wamedumu kuishi kwa amani miaka yote bila ushenzi wa kusalitiana ndoa zikadumu.
Wanawake jirekebisheni
 
Sikuhizi kuchepuka ni kawaida kama maudhirio ya chooni....wala msimlaumu huyo jamaa kwamba hapigi mzigo vizuri...nakuambia sikubhizi hata pige mzigo namna gani....hata umpe style zotee...hata upige bao 100...wakuchepuka atachepuka tu...
Na sio wanawake tu hata wanaume ndo hivyohivyo..
Sana sana chakumlaumu huyo mwanamke ni kuchepuka kipumbavu hadi kashikwa..
 
tatizo wanaume wengi mnaamini mkishampa mtu pesa inatosha, jamani we need care and love..
yaani mtu akujali na kukupenda,
mtu mnapata hata 30mnts za kuongea, kucheza au kufanya chochote pamoja,
kuna wanaume hamjui lini mara ya mwisho kumkiss wife,
haujui lini ulishamsifiaga kwa lolote,
deep down yule mwanamke a nafeel kama unamuignore,
hivyo akipita mahali akisifiwa tu analainika..
though all n all hakuna justification ya kuchepuka.
 
Ushasema jamaa anasafiri kila uchao,Muda na mkewe anaupata wapii??na wanaume wengine ni wazito sana kwny mawasiliano, msipoonana basi simu haipigwi wala msg huoni,huku nyuma mshika pembe anampetipeti mkeo every lunch tym na kumpigia simu usiku,sawa mwanamke nae ana matatizoo ila wanaume pia mna kasoro
muda mwingine ukiona we ni wa safari sana beba mkeo nenda nae kama hana kazi ya kumbana kiasi hiko
 
We sema tu ipo siku utapata mwanamke hio bikra hana na atakuendesha km hana akili nzuri na utajishangaaa mana hata kumuacha itakua mtihani kwako
 
Hahahaha FYI love hainaga sababu sijui cha ziada sijui cha nini, anaweza tokea bikra huyo usifeel chochote na akaja mapepeee huyo hana cha ziada chochote wala lolote na ukaingia mzimaa mzima, With love yani hata usiseme never t can happen
 
Hivi ni lazima mimi nipige simu tu?? wewe huwezi kunipigia ili kudumisha mawasiliano? hayo mambo ya one way traffic mnayoyataka kwenye mahusiano kwa kweli yana bore sana,
 
Hongera kwa dada,lakini hamna watu wanafki km wanaume mwasema mnataka a good woman bla blah akitokea walaaa u can't handle it mnakimbilia vimapepee vikishacheat km bibie kwny mada thread zinakuja hapa,same applies to women oh I want a good man n shit akikutokea u know this man is good ila unamkwepa unataka player anaekuumiza kichwa
 
Hivi ni lazima mimi nipige simu tu?? wewe huwezi kunipigia ili kudumisha mawasiliano? hayo mambo ya one way traffic mnayoyataka kwenye mahusiano kwa kweli yana bore sana,
Simu inaweza pigwa pia lakini ikiwa one way traffic I.e akifanya mke tu anachokaa,everyone amake effort kwny hayo mawasiliano km kweli mnapendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…