Wanawake mnaovaa pini puani

Wanawake mnaovaa pini puani

Hahahaaaaa chizi wewe umenichekesha kama nini.
Kamuulize shemeji yako nadhani atakupa majibu mazuri sana.

Sasa shemeji namuulizaje swali nyeti kama hili jamani.. Njoo PM unijibu bana
 
Sasa shemeji namuulizaje swali nyeti kama hili jamani.. Njoo PM unijibu bana

Kumbe una haya eeh? Sasa unathubutuje kuniuliza dada yako swali nyeti kama hili?
Kwaheri mimi naenda zangu kwenye safari ya mabadiliko.
 
Back
Top Bottom