Wanawake mnaovaa pini puani

Wanawake mnaovaa pini puani

Mimi huo urembo unipite tu, nikiwaona wadada wenzangu wamevaa nahisi kutapika!

eeeeeeeh! kumbe wee ni ke? nakuonaa majukwaa ya michezo na huwa sijawahi kufikiri kuwa ni Ke!!
 
Nawachukulia kama ng'ombe wa kisukuma...
Kuna yule wa mambo ya fashoonii kwnye tv chanel moja hivi anaboa sanaaaa sijui mashabiki zake hawamwambiagi? Ptuuuuuh
 
Different Strokes for Different Folks...

Wote tungekuwa na preferences sawa mbona ingekuwa tatizo
 
nikimuona mwanamke ana kipini naona kinyaa sana. sipendi
 
we unautan na wakina dada wa kitanga.mana wadada wa kitanga bila hilo lipini bado hajapendeza
 
Nyie wote hamnishindi mimi kwa kuchukia mwanamke alietoboa pua! Mi hata mwanamke alietoboa sikio zaidi ya mara moja huwa namuona mshamba tuu.. Sawa na anaevaa cheni mguuni
 
Nyie wote hamnishindi mimi kwa kuchukia mwanamke alietoboa pua! Mi hata mwanamke alietoboa sikio zaidi ya mara moja huwa namuona mshamba tuu.. Sawa na anaevaa cheni mguuni

Hiyo mkuu ni kielelezo kuwa hawana hiyana kutoa ule mtandao unaopendwa na wanafunzi
 
eeeeeeeh! kumbe wee ni ke? nakuonaa majukwaa ya michezo na huwa sijawahi kufikiri kuwa ni Ke!!

Nashukuru Mungu kwahilo.Laiti kama ningekua kwenye topics za kishenzi ungekua unajua mimi ni jinsia gani zamaani!
Hili kwangu ni faraja.
 
Ptuuuuuu!?? Sipendi huo ujinga!? Wanakua ka FAHALI (lile ng'ombe dume)
 
Kuna demu nilimtokea kufika getho duu nakuta vyuma nyetini mashine ikalala papohapo
 
Back
Top Bottom