Wanawake mnaovaa pini puani

Wanawake mnaovaa pini puani

Mkuu perception yangu mimi iko hivi, kuna vitu vingi sana vinapita mpaka kufikia mtu kuchora tattoo. Ni lazima mtu awe associated na makundi ya watu wanaochora hayo majikitu ambao in realty huwa sio decent people. Pili ni lazima awe convinced na mtu, sasa kama kaweza kuwa convinced easily kuchora tattoo kiunoni atashindwaje kuchora makalioni kabisa kama wale wanawake wa movie za kiutu uzima? Kwangu mimi nataka ngozi iwe ngozi na kama ina alama yake ya asili iwe hiyo na kama ana kovu liwe hilo hayo makovu ya makusudi kwa jina la urembo mi hapana kwa kweli. Sitaki kuamini kama unakuwa stimulated na tattoo!

Yapi well said
 
Mimi kipini, kikuku, kutoa sikio zaidi ya mara moja... nawachukulia kama makahaba
 
Yaani mi ndo kabisaa, ukianza kuvaa lipini puani nakutoa maana kabisa hata kama nilikuwa nakuheshimu. Yule Lotus wa Eatv nikimuonaga tu nashikwa na hasira, namfananisha na maksai.Hivi nani aliyemwambia akivaa vile anapendeza? Naona Vannesa Mdee naye kaanza upuuzi huo ambao hata haumfanani
 
lipini la vanesa mdee kama limu ya bedford hivi washauli hawapo
 
Mkuu huo ni ushamba au haujona imewekwa kwenye papuchi nini..Alfu ilivyo tamu anavyo kata mauno utaomba aweke mpaka kwenye Tigo(O)
 
Hahha unachekesha hujui kitu nyamaza huyo anaevaa kama kamasi Ni yeye napenda kipini hasa kiwe kidogodogo umenifanya nikakifukunyue nilipokiweka nikivae
 
Hatuwezi wote tuka fanana. Provided hawaja vunja sheria, ruksa wa fanye watakavyo. Kama wana Kukera, just ignore em.
 
Mimi navaa nose studs. Sio nose rings. Afu tu stud twenyewe tuduchuuu.


Kwa ndani hata hazionekani.

Tamu sanaaaa.
 
Aisee mimi ile cheni ya kiunoni nikionaga tu majeshi lazima yasalimu amri..

Tena iwe ile ya gold sio haya mabati.. Daaahh aise naweza salimisha hati za urithi teh teh
 
Aisee mimi ile cheni ya kiunoni nikionaga tu majeshi lazima yasalimu amri..

Tena iwe ile ya gold sio haya mabati.. Daaahh aise naweza salimisha hati za urithi teh teh

Wewe nae sijui ukoje? Hapa tunaongelea vipini bhana...
Sio mbaya hata hivyo....
 
Wewe nae sijui ukoje? Hapa tunaongelea vipini bhana...
Sio mbaya hata hivyo....

Vipini, sikio kujazwa hereni, pete kila kidole hayo mimi hata bia hupati..

Sasa we nifah haya mambo yangu huwa unatupiaga hata mara moja moja??
 
Last edited by a moderator:
vipini vya pua ni mapambo ukija mikoa ya kusini ni kama desturi yao sasa msipende kukashifu tamaduni za watu.
 
Vipini, sikio kujazwa hereni, pete kila kidole hayo mimi hata bia hupati..

Sasa we nifah haya mambo yangu huwa unatupiaga hata mara moja moja??

Hahahaaaaa chizi wewe umenichekesha kama nini.
Kamuulize shemeji yako nadhani atakupa majibu mazuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom