Wanawake mnaovaa pini puani

Wanawake mnaovaa pini puani

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
Hiyo pini ya pua haipendezi inavyoning'inia kama kamasi.

Akina dada mnatuchefua kwa hilo pini kamasi.
 
Mimi huo urembo unipite tu, nikiwaona wadada wenzangu wamevaa nahisi kutapika!
 
Usi generalize ushamba wako! kama hulipendi mwambie dem wako asivae.
 
Mbona mim napenda sana urembo huo kwa dadazetu, pole kaka kama unaboreka
 
Kusema ukweli kutoka ndani ya moyo wa sakafu yangu (Ah Sakafu ya Moyo wangu) Kama umejitoboa pua, au mdomo au umechora mitattoo, mi nipite tu maana hata kama we mzuri kama malaika ntakudisgrade to 0%
 
inaboaje? kuna yule wa Eat.......V
na huyuuuu .........V mwaney Madeeeee...
yaani huu sio urembo ni kerooo
 
Kusema ukweli kutoka ndani ya moyo wa sakafu yangu (Ah Sakafu ya Moyo wangu) Kama umejitoboa pua, au mdomo au umechora mitattoo, mi nipite tu maana hata kama we mzuri kama malaika ntakudisgrade to 0%
Pole pole ma braza. Ka tattoo kadogo ka kichokozi huku nyuma karibu na Masaburi wee mbona raha tosha? Msi-generalize bwana kwani kwenye haya mambo ni kila mtu na preferences zake!
 
Mkuu perception yangu mimi iko hivi, kuna vitu vingi sana vinapita mpaka kufikia mtu kuchora tattoo. Ni lazima mtu awe associated na makundi ya watu wanaochora hayo majikitu ambao in realty huwa sio decent people. Pili ni lazima awe convinced na mtu, sasa kama kaweza kuwa convinced easily kuchora tattoo kiunoni atashindwaje kuchora makalioni kabisa kama wale wanawake wa movie za kiutu uzima? Kwangu mimi nataka ngozi iwe ngozi na kama ina alama yake ya asili iwe hiyo na kama ana kovu liwe hilo hayo makovu ya makusudi kwa jina la urembo mi hapana kwa kweli. Sitaki kuamini kama unakuwa stimulated na tattoo!
 
Uko sahihi mkuu. Ni kila mtu na preferences zake na tusilazimishane na kufanyiana objective generalizations kwenye suala ambalo ni 100% subjective. Hata mimi sitaki kuamini kama huwi stimulated na tattoo. Binafsi ka tattoo kadogo mf. ka ua waridi linalochanua hapo nyuma basi ni urembo tosha na mzuka balaa hasa binti awe light skinned hivi uwiiiiii!
 
Hahahaa nakutakia kila la kheri mkuu
 
Mi napenda sana..wangu anazo sehemu zote..puani,masikioni,kwenye kope,kwenye ulimi,papuchi,kitovuni n.k
 
Back
Top Bottom