nyani mkindu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 537
- 976
No money no papuchi 


Hakuna upendo wa bure ila upo upendo wa dhati ambao manufaa yake huwezi yaona leo kama anayekupenda humpendi na ukaamua kuwa nae hivyo hivyo tu au kwa kimombo wanasema Just Go with It.Uliyosema ni kweli upendo wa bure upo ila hela ikiwepo sio mbaya
Moyo sukuma mapenzi damu achia mishipaAisee.
Moyo wangu sukuma damu, mengine usijitakie
ndo kina nani hao broke B!tches? mimi kusema ukweli napenda looohNaomba kuuliza swali,
Wanawake mnavyotaka kuolewa na wanaume wenye pesa na maisha yao mliskia wapi labda wanaume wanataka Broke B!tches?
mna hela gani mafala nyie? mtaji wenu ni vibamia tu na ndo maana wengi wenu mnapumuliwa tu kama sisi tumekuwa wote walilia vibamia.
kutakua kama dekio la mochwariYaani mtu akitaka blouse akatoe maku, akitaka sket akatoe maku, akitaka lotion akatoe maku, akitaka wigi akatoe maku, akitaka ndewele akatoe maku!! Mpaka huyo mtu anakuja kuolewa huko chin kutabaki kitu kweli!!!??
point nzito sana hiiSi kweli...mimi wakati nachumbia mke wangu sikujua lolote na nilitaka kumtimua alipokimbilia kwangu kabla hata sijajitambulisha kwao japo kwa barua kumbe binti alikuwa analazimishwa aozeshwe ka mdogo wake na M'bunge mmoja hivi kwa wakati ule na kwa sasa ni waziri, lakini baada ya kumdadisi vizuri akaja kunambia ukweli ikabidi niwe mpole tu maana nami sikuwa naamini katika mapenzi ya dhati kwa wakati ule.
Upendo wa dhati upo sana na ukimpata anayekupa upendo huo mpende hata kwa kujilazimisha faida yake utakuja iona mbele ya safari.
Hatujawah kusikia popote
Tunapenda tu
Alafu na nyie mnavyotaka kuoa wanawake wazuri ukimuona katupia kapendeza unasema mke cndo huyu unadhani wanapendezeshwa na majani eeeh
![]()

asantee sana