Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,488
Umezd kutongoza na ww😎Mmmmh hapana, kapeace Mwenyewe hata PM alinifungiaga
Umezd kutongoza na ww😎Mmmmh hapana, kapeace Mwenyewe hata PM alinifungiaga
Ha ha ha ha sasa mambo haya yangeishia mtaani humu jf Mada zingetoka wapi?
Hahahaha hajui hata rangi la mlango wanguUmezd kutongoza na ww![]()
Kuna kofuli kubwa la rangi ya samawatiHa ha ha mlango upi?
Maana watu hawachelewi kuniwazia mengineyo hapa
Nyakati za mwisho watu watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu
Habari,
Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.
Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....
1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni
2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.
Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?
Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.
Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
Hao ndio magwiji wa kuchepuka?
Yaan bora hata umeulizaWanaume je??? Mna hati miliki ya kuchepuka? Mbona tahadhari imetolewa kwa upande mmoja?
Well nasi tutakuwa na kikao cha dharura cha kutafuta namna ya kuwamaliza wanaume wachepukaji bila kuacha ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya "alikufa kwa mstuko wa moyo".
Sio kweli.
Eti umesema tuache kuchepuka? Kwani tumekuwa Yesu? Mwanaume kuchepuka ni haki yake ya msingi kabisa na inapaswa iheshimiwe kwa mioyo mikunjufuJust to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.
Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?