Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Kwamba vipigo vyote vinavyoleteleza mauaji kwa wanawake vinatokana na kufumaniwa au kucheat?? Au matukio haya yameanza siku hizi??? Yapo tangu enzi ndo vile hakukuwa na mitandao
Kila mtu atumie kifanyio chake kadri roho wa bwana atakavyomuongoza,, wakianza sie tunamaliza
Nimependa kapara ka mwisho kamenibariki


waleleeeee
