Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
Hamna kitu kinaitwa kuchepuka kwa mwanaume,anayechepuka ni mwanamke mwanaume anaenda kwa mke mwenzio hachepuki.mwanaume ni wa wote mwanamke ni wa moja.
 
Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
Mwanaume hachepuki.
 
Habari,

Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.

Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....

1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni

2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.

Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?

Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.

Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
So sad
Alafu utakuta jamaa aliyemlewesha kauchuna kama vile hajui nini kimetokea
 
Mkuu kwani unafikiri hayajanikuta basi?

Ipo siku nitaleta ushuhuda wangu humu, lkn km ulivyosema hakika inauma ila usipokuwa strong akilini na kwenye moyo utaacha wanaokupenda wengi wakitaabika kisa Kima mmoja tu.
usisahau kuleta mrejesho
 
Back
Top Bottom