Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,573
Yaani unalia hadi unatamani udumbukie kaburini na wewe, waache tu wajifanye wanunuzi wazuri wa mkaa..
Halafu hamnaga hata upelelezi kwenye hilo, ni moja kwa moja mortuary.
Na baada ya hapo tunalia mpaka macho yanavimba
Wanaume hawajui tuu, wanapaswa watuheshimu sana yaani yaani sana maana ukatili wetu hadi shetani huwa anaogopa anahisi kuna shetani mwingine zaidi yake.

