Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,850
Mi naona tuanzishe kampeni na wao tuwaueNdo maana nimewatag hao wadada waje wanisadie kshangaa
Mi naona tuanzishe kampeni na wao tuwaueNdo maana nimewatag hao wadada waje wanisadie kshangaa
Tumekuelewa mkuu!
Kabisa kabisaMi naona tuanzishe kampeni na wao tuwaue
Waambie bas wenzako waache huo ujinga maana tukiwageuzia kibao mtateketea kama kukuIt is not about me manengelo , hapa mimi naangalia tu ukatili mnaofanyiwa ulivyoshamiri. Binafsi siungi mkono aseeeh, maana mwisho wa ukatili huu ni watoto kuwapoteza Baba na Mama
Pia ndugu, marafiki na kazini kwenu unapotoa huduma kupoteza mtu muhimu.. Sasa kama hapa siyo ubinafsi wa kujifikiria nafsi yako mmoja tu.
Huu ukatili hapana, tutafute njia nyingine
Hatutumii mkaa wala nini. Sumu kwenye msosi anakufa taratibuKabisa kabisa
NimekupataJust be extra careful.... Tumetofautia.
Some tupo strong kwenye heart and mind,,,, no matter how hard we got hit lkn bado brain na mioyo itaendelea kufanya kazi kwa ufanisi.... Some tupo very weak and fragile kiasi kwamba when we got hit tunavunjika vunjika kiasi kwamba zile cheche haziangalii moto utakaowaka unaweza kuleta madhara kiasi gani.
Just be extra careful, usalama kwanza ndiyo muhimu
Huu muda unaotumia kushangaa, utumie kuwashauri baadhi ya wenzako walioreckless kujiprotect zaidi.... Chepuka kwa raha zako, lkn jilinde vyema kuliko kujiaminisha kuwa ukifumwa nothing will going to happen. Siyo uhakika, binadamu tumetofautiana
Yaani wanakufa hata vipimo havioneshi kama wamewekewa niniHatutumii mkaa wala nini. Sumu kwenye msosi anakufa taratibu
Hamna haki, nimetoa tahadhari upande mmoja kwasababu naona vitendo vya kikatili vimeelekezwa upande mmoja na bahati mbaya huo upande nao umejisahau kwenye kujiprotect (kujiamini kumekuwa mwingi sana)
Just be careful, possible waliokuzunguka wanakuhitaji zaidi kuliko huyo unayemsaliti.
Okay okay.... Lakini na wanaume wawe makini Pia sikuhizi wanawake hatuna huruma ni vile ukitusumbua tunakuuwa taratibu yaani watu hawajui kama umeuwawa ila ndo ushakufa hivyo
Hata ikijulikana haina tatizo maana na nyie hamjali kwenda jela, watoto watalelewa na ulimwenguUkifanya hivi hakikisha inaenda undetectable ili ubakie kulea watoto vyema... Ila as long as haupo sure better uachane na ukatili upitie njia nyingine.
Siyo vyema kushindania ukatili, mwisho wa ubaya ni aibu siku zote
Kwamba vipigo vyote vinavyoleteleza mauaji kwa wanawake vinatokana na kufumaniwa au kucheat?? Au matukio haya yameanza siku hizi??? Yapo tangu enzi ndo vile hakukuwa na mitandao
Anajuaga kulia huyu kuhusu kuchepuka itakuwa mkewe alimchepukia kwa jeuriPole sana Omerta kuchapiwa...mnazidi kujifanyaga busy![]()
Amen!Kwamba vipigo vyote vinavyoleteleza mauaji kwa wanawake vinatokana na kufumaniwa au kucheat?? Au matukio haya yameanza siku hizi??? Yapo tangu enzi ndo vile hakukuwa na mitandao
Kila mtu atumie kifanyio chake kadri roho wa bwana atakavyomuongoza,, wakianza sie tunamaliza
Anajuaga kulia huyu kuhusu kuchepuka itakuwa mkewe alimchepukia kwa jeuri
Maumivu yako nayaona,, hii tahadhali mkeo, dada, shangazi, mama zako umewapa huko au umeanzia huku tu?Huu muda unaotumia kushangaa, utumie kuwashauri baadhi ya wenzako walioreckless kujiprotect zaidi.... Chepuka kwa raha zako, lkn jilinde vyema kuliko kujiaminisha kuwa ukifumwa nothing will going to happen. Siyo uhakika, binadamu tumetofautiana
Jibu zuri kabisa hiliOkay okay.... Lakini na wanaume wawe makini Pia sikuhizi wanawake hatuna huruma ni vile ukitusumbua tunakuuwa taratibu yaani watu hawajui kama umeuwawa ila ndo ushakufa hivyo