Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Ijapokuwa imekuwa ikishangaza takwimu za talaka kuwa juu sana kwa nchi zilizoendelea lakini faida yake ni kuondokana na hayo majanga!
 
Jamaa wa gunia za mkaa alitoa mbinu nzuri sema alikosea kutochoma simu yake. Ila nina hakika nyumba yake alibleach
 
Jamaa wa gunia za mkaa alitoa mbinu nzuri sema alikosea kutochoma simu yake. Ila nina hakika nyumba yake alibleach
 
Jamii ibadilike? Mbona humu mwenzio najiona kama napoteza muda tu wanaume mlivyo na jeuri na viburi kwa wanawake mnakubaligi tuwaambie ukweli ninyi?

Sidhani kama kuna anayefuata haya wanawake tunayoyaandika humu maana kila mtu anaona jinsia yake ndo iko sawa japo kiuhalisia wanaume ndo mnakosea sana kuliko sisi
Endelea kutema sumu jamii ibadilike ili tuwe na kizazi chenye furaha na mahusiano yenye afya
 
Jamii ibadilike? Mbona humu mwenzio najiona kama napoteza muda tu wanaume mlivyo na jeuri na viburi kwa wanawake mnakubaligi tuwaambie ukweli ninyi?

Sidhani kama kuna anayefuata haya wanawake tunayoyaandika humu maana kila mtu anaona jinsia yake ndo iko sawa japo kiuhalisia wanaume ndo mnakosea sana kuliko sisi
Daaah madam utanifanya nionekane snitch kwa wanaume wenzaungu, ishu ni hivi nyie endeleeni kutema sumu mara nyingi wanaume huwa hatukubali hata dawa ikiingia ila tunabadilika kimya kimya..
Yani mkisubiri tukubali hoja zenu mtakata tamaa we normally admit indirectly the same when we want to apologize..
 
Tafuteni magunia ..Kitandani tunalala na visu ..chini ya kitanda tuna machete Sasa kazi kwenu
 
Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
Yaani hawa wanawake wafanyakazi balaa ukitaka pambuchi anakwambia kachoka siku ya1..kachoka siku 2 .kachoka siku 3.kachoka siku ya 4. kachoka hivi kwannn mwanaumwe asijiongeze asilimia kubwa chanzo ni wanawake tu
 
wow, just wow.
Daaah madam utanifanya nionekane snitch kwa wanaume wenzaungu, ishu ni hivi nyie endeleeni kutema sumu mara nyingi wanaume huwa hatukubali hata dawa ikiingia ila tunadilika kimya kimya..
Yani mkisubiri tukubali hoja zenu mtakata tamaa we normally admit indirectly the same when we want to apologize..
 
Back
Top Bottom