Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Nisingeona andiko lako humu ningelalama uzi ufungwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Nisingeona andiko lako humu ningelalama uzi ufungwe
Huu ni uchochezi usio na tija kwa taifa letu lenye afya..Tafuteni magunia ..Kitandani tunalala na visu ..chini ya kitanda tuna machete Sasa kazi kwenu
Dawa ya magunia visu hakuna namnaHuu ni uchochezi usio na tija kwa taifa letu lenye afya..
😂😂😂Dawa ya magunia visu hakuna namna
Very trueNawaasa tu wanaume wezangu kama unajijua unachepuka mpaka mkeo agundue na kuumia vya kutosha.ujue tu mkeo hayuko salama huwa nao wanalipiza kimya kimya na hutakaa ujue mpaka uingie kaburini.
Kwani nimebisha? Nilisema kuwa uovu ni uovu tu, hakuna justification ya kuhalalisha maovu whether anafanya mwanaume au mwanamke.Naomba nimuite ArchAngel aje ausome huu ukweli mchungu
Sijui kwakweli inaweza tokea hata keshokutwa
Yaan sasa hivi ni kuhakikisha mmelala umeficha kisu,mkaa nunua wa kupima akileta gunia kataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya ndo kwanza unayasema leo hakuna popote ulipowahi kuyasema labda kama ulikuwa unamwambia mtu mwingine na siyo mimi halafu wala hata sipendi ligi ila basi tu wewe ndo mbishi na nilikuita ili uje ubishe na hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani nimebisha? Nilisema kuwa uovu ni uovu tu, hakuna justification ya kuhalalisha maovu whether anafanya mwanaume au mwanamke.
Dada inaonekana unapenda ligi sana wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa mention.
In a sane society the appropriate penalty for adulterous wife is public execution bila mjadala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu popote ulipo agiza balimi kreti zima nitalipa, najua ulikuwa unanisubiri nijae kwenye 18 zako[emoji63][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya ndo kwanza unayasema leo hakuna popote ulipowahi kuyasema labda kama ulikuwa unamwambia mtu mwingine na siyo mimi halafu wala hata sipendi ligi ila basi tu wewe ndo mbishi na nilikuita ili uje ubishe na hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu popote ulipo agiza balimi kreti zima nitalipa, najua ulikuwa unanisubiri nijae kwenye 18 zako[emoji63]
Daah kuna nyumba moja niliingia visu vyote hufungiwa nje...
🤣🤣
Nyumba zina tabu sana
Kuachana nako ni kugumu
Wacha tuchepuke polepole
Ukinikamata ukaniua basi
Itakuwa ndo kifo changu kilipangwa hivyo...